Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Yanga haizuiliki

YANGA imeendelea vema na kampeni za kutetea taji la Ligi Kuu baada ya kushinda mabao 2-0 dhidi ya Dodoma Jiji…

Soma Zaidi »

Simba, Mbeya City mechi ya kisasi

SIMBA leo itakuwa ugenini kumenyana na Mbeya City kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya katika muendelezo wa mechi za Ligi Kuu…

Soma Zaidi »

Ronaldo aondoka Man U

Manchester United imefikia makubaliano ya kuvunja mkataba na Cristiano Ronaldo. Iliripotiwa wiki iliyopita kuwa United walikuwa wameanza mchakato wa kisheria…

Soma Zaidi »

Ni Valencia, ainyuka Qatar

MCHEZO wa kwanza wa ufunguzi wa michuano ya Fifa ya Kombe la Dunia umemalizika kwa wenyeji Qatar kukubali kichapo cha…

Soma Zaidi »

Bosi Fifa atishia kujiuzulu kisa ‘pombe’ Qatar 2022

Rais wa FIFA, Gianni Infantino amesema kama pombe ndilo suala kubwa linalopigiwa kelele kuelekea Kombe la Dunia basi atajiuzulu mara…

Soma Zaidi »

Simba kuikabili Ruvu Shooting leo

WEKUNDU wa Msimbazi, Simba wanatarajiwa kushuka dimbani leo kuikabili Ruvu Shooting katika mchezo wa mzunguko wa 13 utakaochezwa kwenye Uwanja…

Soma Zaidi »

Kocha wa viungo Simba aanza tambo

BAADA ya Simba kumtambulisha rasmi kocha wa viungo, Kelvin Mandla kutoka nchini Afrika Kusini, amejinasibu kuwa anatazamia wataifikisha mbali Simba…

Soma Zaidi »

Nabi ataka makali Nabi ataka makali zaidi Yanga

USHINDI wa mabao 4-1 dhidi ya Singida Big Stars umemfurahisha Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi lakini akasisitiza kuwa bado hawajafi…

Soma Zaidi »

Mpango kufungua shimmuta Tanga

MAKAMU wa Rais, Dk Philip Mpango anatarajia kuwa mgeni rasmi katika ufunguzi wa Mashindano ya Mashirika ya Umma, Makampuni na…

Soma Zaidi »

Yanga, Singida kivumbi

YANGA leo inakabiliwa na kibarua pevu cha kuikabili timu ya Singida Big Stars, katika mwendelezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara,…

Soma Zaidi »
Back to top button