DROO ya hatua ya mchujo kuwania kutinga makundi ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF), inaendelea muda huu Cairo, Misri, ambapo Yanga itacheza na Club Africain ya nchini Tunisia.


Nabi akili nyingi mechi na Watunisia
Add a comment