Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Senegal itatoboa leo 16 bora?

RAUNDI ya mwisho (3) ya michuano ya Kombe la Dunia inaanza leo, Timu ya Taifa ya Senegal inahitaji ushindi dhidi…

Soma Zaidi »

Yanga tayari Yanga tayari kuikabili Ihefu

YANGA leo inashuka kwenye Uwanja wa Highland Estate Mbarali, kukabiliana na wenyeji Ihefu FC katika mwendelezo wa mechi za Ligi…

Soma Zaidi »

Simba yazinduka

SIMBA imezinduka kutoka katika usingizi mzito baada ya jana kuibuka na ushindi wa mabao 3-1, dhidi ya Polisi Tanzania katika…

Soma Zaidi »

Dr Chen akana kutaka pesa harusi ya Wolper

MSHEREHESHAJI na muigizaji maarufu nchini, Mahsein Awadhi ‘Dr Cheni’ amesema kuwa sio kweli kwamba alishindwa kufanya kazi ya harusi ya…

Soma Zaidi »

Nabi awapongeza wachezaji

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amewapongeza wachezaji wake kwa kupambana kuipigania timu yao kupata ushindi kwenye mechi za Ligi…

Soma Zaidi »

Diamond ataka wasanii kubadilika

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond Platnumz’ amewataka wasanii wa hapa nchini kujitangaza ili kutengeneza pesa na…

Soma Zaidi »

Rosa Lee ammwagia sifa Christian Bella

MSANII wa kike anayefanya vizuri kwenye muziki wa Hip Hop, Rosary Robert ‘Rosa Lee’ (pichani) amesema kuwa Christian Bella sio…

Soma Zaidi »

Afrika imekuaje? Ronaldo aweka rekodi!

AFRIKA limekuwa Bara lenye bahati mbaya mwaka huu wa Kombe la Dunia, baada ya timu zote tano kushindwa kupata ushindi…

Soma Zaidi »

Nabi ataja siri ya ushindi

KOCHA Mkuu wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema siri ya timu yake kuendelea kupata ushindi katika mechi za Ligi Kuu Tanzania…

Soma Zaidi »

Simba yaacha pointi Mbeya

SIMBA wamezidi kuwa mbali na watani wao wa jadi Yanga baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Mbeya…

Soma Zaidi »
Back to top button