Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Balozi Mbega aipa hamasa Serengeti Girls

Balozi wa Tanzania nchini India ameitembelea kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 17, Serengeti Girls inayoshiriki…

Soma Zaidi »

Simba yarejea Dar

TIMU ya Simba imewasili Dar es Salaam asubuhi ya leo, ikirokea Luanda, Angola, ambako jana iliibuka na ushindi wa mabao…

Soma Zaidi »

Simba yanusa makundi Caf

TIMU ya Simba imetanguliza mguu mmoja hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika baada ya kuibuka na ushindi wa…

Soma Zaidi »

HABARI KUU: Oktoba 7, 2022

Mkusanyiko wa habari kuu zilizojiri leo Oktoba 7, 2022

Soma Zaidi »

Kikwete roho kwatu kwenye muziki

RAIS Mstaafu wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete amesema yeye ni mpenzi wa muziki na kwamba anapenda kuimba. Akizungumza katika…

Soma Zaidi »

Prisons, Singida Big Stars zafungiwa kusajili

TIMU za Tanzania Prisons na Singida Big Stars zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania bara zimefungiwa na Kamati ya Sheria na Hadhi…

Soma Zaidi »

Ligi Kuu Bara haipoi

LIGI Kuu Soka Tanzania Bara unaweza kusema haipoi kutokana na mwenendo wa kila timu, tofauti ndogo ikimpa nafasi mwingine kupanda…

Soma Zaidi »

‘Wenye mahitaji maalumu kushiriki Shimiwi’

SERIKALI imesema inaangalia uwezekano wa kushirikisha watumishi wenye mahitaji maalumu kwenye mashindano yake ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na…

Soma Zaidi »

Samatta mchezaji bora wa muongo

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayechezea klabu ya Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta amechaguliwa kuwa miongoni mwa wachezaji bora 11…

Soma Zaidi »

Serengeti girls mguu sawa India

TIMU ya Taifa ya soka ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls, inatarajia kuondoka leo hapa kwenda…

Soma Zaidi »
Back to top button