Balozi Mbega aipa hamasa Serengeti Girls

Serengeti Girls ipo India kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la Wanawake chini ya Miaka 17

Balozi wa Tanzania nchini India ameitembelea kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake chini ya miaka 17, Serengeti Girls inayoshiriki michuano ya Kombe la Dunia huko Delhi.

Lengo la kuitembelea timu hiyo ni kuwapa hamasa katika mechi dhidi ya Japan pamoja na nyingine katika kundi D.

Wawakilishi hao wa Tanzania wanatupa karata yake ya kwanza muda huu dhidi ya Japan.

Mbali na Japan, wapinzani wengine wa Tanzania katika kundi D ni Ufaransa na Canada.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button