Kanda

Watakiwa kufanya maandalizi kidato cha kwanza

WAZAZI na walezi wenye watoto waliohitimu darasa la saba mwaka huu, wametakiwa kuhakikisha wanafanya maandalizi ya kidato cha kwanza mapema…

Soma Zaidi »

Ufugaji samaki Rungwe wazalisha ajira 729

MRADI wa ufugaji samaki wilayani Rungwe, mkoani Mbeya, umefanikiwa kuzalisha ajira 729, baada ya wananchi kupewa mafunzo ya kuendeleza ujuzi…

Soma Zaidi »

Uwekaji mifugo hereni za kielektroniki watua Tanga

ZAIDI ya mifugo 36000 iliyopo jijini Tanga, inatarajiwa kutambuliwa kwa kuwekewa alama ya hereni za kielektroniki. Akizungumza baada ya kuzindua…

Soma Zaidi »

Madarasa 134 sekondari kujengwa Mtwara

SERIKALI imetoa Sh bilioni 2.680 kwa ajili ya ujenzi vyumba vya madarasa 134 kwa shule za sekondari katika Mkoa wa…

Soma Zaidi »

Madarasa 100 sekondari kujengwa Arusha

SERIKALI ya Rais Samia Suluhu Hassan, imetoa Sh bilioni 2 kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa 100 katika…

Soma Zaidi »

Ummy: Kagera ni salama, atakaye na aje

WAZIRI wa Afya Ummy Mwalimu, amekabidhi magari matano  kwa ajili ya kampeni ya kudhibiti mlipuko wa ugonjwa wa Ebola katika…

Soma Zaidi »

Mwenge waingia Kagera

MWENGE wa Uhuru umeingia mkoani Kagera, ambapo kilele chake itakuwa Oktoba 14 mwaka huu na mgeni rasmi atakuwa Rais Samia…

Soma Zaidi »

Aunguzwa mikono, akosa mitihani darasa la saba

MWANAFUNZI wa Shule ya Msingi Shahende, Kata ya Butobela halmashauri ya Wilaya ya Geita mkoani hapa amejeruhiwa kwa kuunguzwa mikono…

Soma Zaidi »

Samia awapa matumaini Darasa la Saba

RAIS Samia Suluhu Hassan amewaeleza wanafunzi wa Darasa la Saba kuwa serikali itahakikisha inakamilisha maandalizi ya miundombinu ya kuwapokea watakaoendelea…

Soma Zaidi »

TPDC waanza utekelezaji bomba la gesi Mtwara

SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Nchini (TPDC), limeanza kutekeleza hatua za  kuanza ujenzi wa bomba la kusafirisha gesi asilia, lenye…

Soma Zaidi »
Back to top button