BREAKING: Kocha Luis Enrique ameachana na timu ya Taifa ya Hispania, ikiwa ni siku chache baada ya timu hiyo kutolewa…
Soma Zaidi »Michezo na Burudani
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
MSHAMBULIAJI wa Yanga Fiston Mayele na Kocha Mkuu wa Simba, Juma Mgunda wameng’ara kwenye tuzo za mwezi zinazotolewa na Shirikisho…
Soma Zaidi »Bahati huwapenda wenye ujasiri. Muulize Achraf Hakimi atakupa majibu. UTAMBULISHO WAKE Achraf Hakimi mwenye miaka 24 alizaliwa November 8,1998 katika…
Soma Zaidi »Kiungo wa Ubelgiji na Real Madrid, Eden Hazard ametangaza kustaafu soka kwa kuichezea timu yake ya Taifa ya Ubelgiji. Kupitia…
Soma Zaidi »UONGOZI wa klabu ya Geita Gold umethibitisha kuachana na mshambuliaji George Mpole kwa sababu ambazo hawajaziweka wazi. Katika taarifa yao…
Soma Zaidi »KLABU ya Ruvu Shooting imemtangaza Mbwana Makata kuwa kocha wao mpya akisaini mkataba wa mwaka mmoja na kuchukuwa nafasi iliyoachwa…
Soma Zaidi »Kocha wa Ruvu Shooting, Charles Mkwasa ameikacha timu hiyo kutokana na mfululizo wa matokeo mabaya ya Ligi Kuu Tanzania Bara.…
Soma Zaidi »Mwanariadha Mtanzania, Gabriel Geay ameweka rekodi kwa kushika nafasi ya pili katika mashindano ya ‘Valencia marathon’ akitumia saa 2:03:00 kukimbia…
Soma Zaidi »Mshambuliaji wa Ufaransa, Olivier Giroud anakuwa mfungaji bora wa muda wote wa timu hiyo, mara baada ya kufunga bao la…
Soma Zaidi »Kocha wa Brazil, Adenor Leonardo Bacch ‘Tite’ amethibitisha kuwa nyota Neymar Jr amepona majeraha na atakuwepo kwenye mchezo wao raundi…
Soma Zaidi »









