Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Sababu za Barbara kujiuzulu Simba SC

Mtendaji Mkuu wa Simba SC, Barbara Gonzalez leo ameandika barua ya kujiuzulu wadhifa wake kama Afisa Mtendaji Mkuu wa timu…

Soma Zaidi »

Yanga yamteua Nkoma kuifundisha Princess

Uongozi wa klabu ya Yanga umemtangaza Sebastian Nkoma kuwa kocha wa timu yao ya Wanawake ya Yanga Princess akilamba mkataba…

Soma Zaidi »

TOC yaanza mikakati ya Olimpiki Paris

KAMATI ya Olimpiki Tanzania (TOC), imesema kuwa inaanza maandalizi mapema ili kuiwezesha Tanzania kupata medali katika Michezo ya Olimpiki ya…

Soma Zaidi »

TSN yaibamiza Mwananchi

TIMU ya soka ya Kampuni hyaTanzania Standard News Papers (TSN), imeifunga bao 1-0 timu ya Mwananchi katika mchezo wa bonanza…

Soma Zaidi »

Tshala Muana afariki dunia

NGULI wa muziki kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), Elizabeth Tshala Muana (64) amefariki dunia jijini Kinshasa alfajiri leo.…

Soma Zaidi »

Simba wa Atlas kuisimamisha dunia, Afrika inatizama

Dunia inasimama, Afrika inasimama, Afrika inatizama, matarajio ni makubwa, Simba wa Atlas ni wakubwa, wanashindana na wakubwa, zimebaki saa sita,…

Soma Zaidi »

Ndejembi mgeni rasmi fainali Kihenzile Cup 

FAINALI za Kombe la Kihenzile zimepangwa zitafanyika kesho Jumamosi Desemba 10 katika uwanja wa Igowele S/M Akizungumza na HabariLEO, Mbunge…

Soma Zaidi »

Mambo yameiva Mkutano Mkuu TOC

MKUTANO Mkuu wa mwaka wa Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) unafanyika kesho mjini Morogoro na maandalizi yamekamilika. Katibu Mkuu wa…

Soma Zaidi »

TOC yataka vyama kuendesha mashindano ya Taifa

VYAMA na mashirikisho ya michezo nchini vimetakiwa kuendesha mashindano yao ya taifa, ili kuwa na uhalali wa kuchagua Kamisheni zao…

Soma Zaidi »

Shirikisho Ureno lakanusha Ronaldo kutaka kuondoka Qatar

SHIRIKISHO la soka nchini Ureno limekanusha taarifa kuwa mshambuliaji wa timu hiyo, Cristiano Ronaldo alitaka kuachana na timu hiyo na…

Soma Zaidi »
Back to top button