Michezo na Burudani

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

‘Wenye mahitaji maalumu kushiriki Shimiwi’

SERIKALI imesema inaangalia uwezekano wa kushirikisha watumishi wenye mahitaji maalumu kwenye mashindano yake ya Shirikisho la Michezo ya Wizara na…

Soma Zaidi »

Samatta mchezaji bora wa muongo

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania anayechezea klabu ya Genk ya Ubelgiji, Mbwana Samatta amechaguliwa kuwa miongoni mwa wachezaji bora 11…

Soma Zaidi »

Serengeti girls mguu sawa India

TIMU ya Taifa ya soka ya wasichana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Girls, inatarajia kuondoka leo hapa kwenda…

Soma Zaidi »

Tembo Warriors moto

TIMU ya soka ya taifa kwa watu wenye ulemavu, Tembo Warriors, imefanikiwa kutinga hatua ya robo fainali ya Kombe la…

Soma Zaidi »

RC Mtwara aipongeza JWTZ kung’ara kikapu kimataifa

MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Ahmed Abbas, amepongeza timu ya wanaume ya kikapu ya JWTZ kwa kuwa miongoni mwa…

Soma Zaidi »

Filamu yachangia ajira 30,000 kwa mwaka

SEKTA ya filamu imeweza kuchangia ajira takribani 30,000 ndani ya mwaka mmoja wa 2021, huku uwekezaji katika sekta hiyo ukizidi…

Soma Zaidi »

Tuisila Kisinda kuivaa Shooting leo

KIKOSI cha Yanga kitakachoanza dhidi ya Ruvu Shooting leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kipo hadharani, ambapo mshambuliaji…

Soma Zaidi »

Shimiwi yashika kasi Tanga 

MASHINDANO ya Michezo ya Wizara na Idara za Serikali (Shimiwi) yameendelea kushika kasi mkoani Tanga. Katika michezo iliyofanyika leo, timu…

Soma Zaidi »

Tutaenda kuiduwaza Yanga-Masau Bwire

TIMU ya soka ya Ruvu Shooting, imetamba kuwa itaenda kuiduwaza Yanga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara unaotarajiwa kufanyika…

Soma Zaidi »

CAF yaipokonya Guinea ‘uenyeji’ AFCON 2025

SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limeiondoa Guinea katika nafasi ya kuandaa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika 2025 na…

Soma Zaidi »
Back to top button