Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Uwekezaji waimarika Tanzania robo ya kwanza

Uwekezaji waimarika Tanzania robo ya kwanza

DAR ES SALAAM: Hali ya uwekezaji nchini imeendelea kuimarika katika kipindi cha Januari hadi Machi 2026, ikichochewa na mazingira rafiki…
TTFC Yaitaka Serikali Kudhibiti Tumbaku

TTFC Yaitaka Serikali Kudhibiti Tumbaku

CHAMA cha Kudhibiti Tumbaku Tanzania (TTFC) kimeiomba Serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria ya kudhibiti matumizi ya tumbaku ili kupunguza…
Mwigulu: Dira 2050 Ni Ajenda ya Taifa

Mwigulu: Dira 2050 Ni Ajenda ya Taifa

WAZIRI Mkuu Dk.Mwigulu Nchemba ameagiza kuanza mara moja utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2050 kupitia Mpango na Bajeti ya…
Uhifadhi wa Historia Kipaumbele Zanzibar

Uhifadhi wa Historia Kipaumbele Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Hussein Ali Mwinyi, amesema Serikali inaendelea kuweka mkazo katika uhifadhi na…
Fedha za SGR zaipa tuzo Tanzania

Fedha za SGR zaipa tuzo Tanzania

SERIKALI ya Tanzania imeibuka mshindi wa tuzo ya kimataifa ya fedha za miundombinu kwa mwaka 2026, kufuatia mafanikio yake katika…
CAG: Hati 1,326 zinaridhisha

CAG: Hati 1,326 zinaridhisha

MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Charles Kichere, amesema kuwa mwenendo wa hati za ukaguzi kwa mashirika…
Wakulima wazuiwa kuuza korosho nje

Wakulima wazuiwa kuuza korosho nje

MKUU wa Wilaya ya Tabora Upendo Wella, amepiga marufuku wakulima wa zao la korosho kuuza mazao yao nje ya mkoa…
Tozo 628 zapunguzwa kuinua biashara

Tozo 628 zapunguzwa kuinua biashara

RAIS wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema mazingira ya biashara nchini Tanzania yameendelea kuimarika kwa kiwango kikubwa kufuatia hatua…
Watendaji watajwa kikwazo cha biashara

Watendaji watajwa kikwazo cha biashara

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais (Mipango na Uwekezaji), Prof. Kitila Mkumbo amesema juhudi za kuboresha mazingira ya biashara nchini…
Tanzania yazindua mfumo kidijitali kurahisisha biashara

Tanzania yazindua mfumo kidijitali kurahisisha biashara

SERIKALI ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imezindua rasmi ripoti ya uchambuzi wa mifumo ya kidijitali ya utoaji huduma za…
Back to top button