Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Suluhu la umeme migodini kupatikana

Suluhu la umeme migodini kupatikana

DODOMA: Serikali kupitia Wizara ya Madini imeanza mazungumzo na Kampuni ya TAQWA-DALBIT kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa upatikanaji…
Bodi kuleta bei shindani ya mazao

Bodi kuleta bei shindani ya mazao

BODI ya Usimamizi wa Stakabadhi Ghalani nchini imeeleza mfumo wa stakabadhi hauna lengo la kupandisha bei wala kupunguza katika ununuzi…
Uchumi wadorora Uingereza

Uchumi wadorora Uingereza

UCHUMI wa Uingereza umeingia rasmi katika mdororo, takwimu zinaonesha. Mdororo wa uchumi unafafanuliwa kama vipindi viwili vya miezi mitatu mfululizo…
Japan kutoa somo ubunifu, ujasiriamali

Japan kutoa somo ubunifu, ujasiriamali

BALOZI wa Japan nchini Tanzania, Yasushi Misawa amesema nchi hiyo itaendelea kushirikiana na Tanzania katika kukuza bunifu na ujasiriamali kwa…
RC Arusha ataka uwekezaji zaidi huduma ya vyakula

RC Arusha ataka uwekezaji zaidi huduma ya vyakula

MKUU wa Mkoa wa Arusha, John Mongela ametaka uwekezaji zaidi jijini jijini Arusha hasa katika masuala yanayohusu vyakula, ili kuongeza…
Maboresho ya masoko Ubungo kuongeza mapato

Maboresho ya masoko Ubungo kuongeza mapato

WILAYA ya Ubungo mkoani Dar es Salaam, imetakiwa kuangalia namna ya kuyaboresha masoko yake ili wananchi wapate eneo zuri la…
Serikali yaunga mkono ushirikiano Airtel, ZCTV

Serikali yaunga mkono ushirikiano Airtel, ZCTV

KAMPUNI ya mtandao wa simu ya Airtel Tanzania imeingia katika ushirikiano wa kimkakati na Zanzibar Cable Television (ZCTV), ili kuwarahisishia…
Mfumo TAUSI kuongeza uaminifu ukusanyaji kodi

Mfumo TAUSI kuongeza uaminifu ukusanyaji kodi

MAMLAKA za Serikali za Mitaa zimeagizwa kutumia zaidi mfumo wa Ukusanyaji Mapato ( TAUSI ) ili kuhakikisha wananchi wanalipa kodi…
Mikakati kuongeza soko la samaki

Mikakati kuongeza soko la samaki

DODOMA: Katibu Mkuu Wizara ya Mifugo na Uvuvi Prof. Riziki Shemdoe amesema wizara yake itaendelea kushirikiana na Ofisi ya Rais…
Tanzania, AfDB zaungana kutekeleza miradi ya nishati

Tanzania, AfDB zaungana kutekeleza miradi ya nishati

DODOMA: NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imeonesha nia…
Back to top button