Biashara

WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.

Watakiwa kuzingatia weledi, usiri ukusanyaji taarifa

Watakiwa kuzingatia weledi, usiri ukusanyaji taarifa

KATIBU Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara Dk Hashil Abdallah, amewatahadharisha wadadisi na wasimamizi wa utafiti wa shughuli za kiuchumi…
ANTU: ‘Uwekezaji Bandari Dar utawainua wamachinga’

ANTU: ‘Uwekezaji Bandari Dar utawainua wamachinga’

DAR ES SALAAM: UWEKEZAJI katika Bandari ya Dar es Salaam umeelezwa kuwa ni chachu ya mafanikio kwa wafanyabiashara ndogo ndogo…
Vitambulisho kidijitali kuwapa mikopo Machinga

Vitambulisho kidijitali kuwapa mikopo Machinga

KAMISHNA wa ustawi wa Jamii,  Nandera Mhando amesema serikali imekuwa ikishughulikia kanzidata za Kitaifa ili kuwaunganisha wafanyabiashara ndogo ndogo wote…
Wakuliwa waaswa kilimo cha umwagiliaji matone

Wakuliwa waaswa kilimo cha umwagiliaji matone

WAKULIMA wameaswa kujikita katika teknolojia ya kilimo cha umwagiliaji wa matone ili kuleta matokeo chanya katika shughuli zao za kilimo…
Walia na uchakavu wa miundombinu sokoni

Walia na uchakavu wa miundombinu sokoni

TANGA: Wafanyabiashara wa soko kuu la Mgandini Jijini Tanga wameiomba Halmashauri ya Jiji la Tanga kuwaboreshea miundombinu ya soko ili…
Msifungie watu biashara zao

Msifungie watu biashara zao

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Ashatu Kijaji amezitaka taasisi zote za serikali zinazohusika na ukaguzi na…
Watakiwa wasitembee na vitita vya fedha mfukoni

Watakiwa wasitembee na vitita vya fedha mfukoni

TANGA; Mkuu wa Mkoa wa Tanga Waziri Kindamba, amewataka wananchi mkoani humo kuacha tabia ya kutembea na kiasi kikubwa cha…
Zanzibar mwenyeji Mkutano wa 20 wa Benki ya Dunia

Zanzibar mwenyeji Mkutano wa 20 wa Benki ya Dunia

ZANZIBAR: Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya…
Waziri aeleza faida malipo kwa mtandao

Waziri aeleza faida malipo kwa mtandao

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Dk Saada Mkuya Salum amesema kuzinduliwa kwa mfumo wa kufanya…
Dk Biteko atoa maagizo kumaliza kuadimika kwa Dola

Dk Biteko atoa maagizo kumaliza kuadimika kwa Dola

DAR ES SALAAM: KUADIMIKA kwa dola ya Kimarekani nchini, Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko, ameagiza…
Back to top button