Biashara
WordPress is a favorite blogging tool of mine and I share tips and tricks for using WordPress here.
Tanzania, ATIDI kuendelea kuimarisha uwekezaji
March 26, 2026
Tanzania, ATIDI kuendelea kuimarisha uwekezaji
DAR ES SALAAM :TANZANIA inaendelea kuimarisha mazingira ya uwekezaji na kuchochea ukuaji wa uchumi kupitia ushirikiano wake na Shirika la…
Mwongozo mpya BMUs kulinda rasilimali za uvuvi
March 26, 2026
Mwongozo mpya BMUs kulinda rasilimali za uvuvi
DODOM: WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi Dk Bashiru Ally amezindua Mwongozo wa Kitaifa wa Usimamizi Shirikishi wa Rasilimali za Uvuvi…
Serikali yasisitiza elimu kwa umma kuongeza ushiriki soko la mitaji
March 26, 2026
Serikali yasisitiza elimu kwa umma kuongeza ushiriki soko la mitaji
WAZIRI wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, ametaka wadau kuimarisha elimu kwa umma kuhusu masoko ya mitaji na dhamana ili…
Mrajisi aviagiza vyama vya ushirika kutumia mizani za kidijiti
March 24, 2026
Mrajisi aviagiza vyama vya ushirika kutumia mizani za kidijiti
Dodoma: MRAJIS wa Vyama vya Ushirika, Dk Benson Ndiege amevitaka vyama vya ushirika vya mazao nchini kuhakikisha vinatumia mizani za kidigitali…
TRA yazionya kampuni zinazokwepa kodi
March 23, 2026
TRA yazionya kampuni zinazokwepa kodi
DAR ES SALAAM: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amesema TRA itaendelea kuwezesha biashara kwa kampuni…
Serikali yapanga kuongeza ndege kuchochea uchumi
March 23, 2026
Serikali yapanga kuongeza ndege kuchochea uchumi
CAPE TOWN: SERIKALI imetangaza mpango wa kuongeza ndege nane kwa Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), hatua itakayofikisha jumla ya ndege…
Kida: Tafiti zisaidie kuimarisha uchumi
March 23, 2026
Kida: Tafiti zisaidie kuimarisha uchumi
KATIBU Mkuu Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji anayeshughulikia Mipango na Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk.…
Kihenzile akoshwa uwekezaji bandari ya Durban
March 20, 2026
Kihenzile akoshwa uwekezaji bandari ya Durban
DURBAN: NAIBU Waziri wa Uchukuzi, David Kihenzile, ametembelea Bandari ya Durban iliyopo nchini Afrika Kusini, kwaajili ya kujionea utendaji na…
RC Mtaka atembelea TSN, ataja mikakati mipya
March 20, 2026
RC Mtaka atembelea TSN, ataja mikakati mipya
DAR ES SALAAM; Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Anthony Mtaka, ametembelea Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) jijini Dar es…
Equity yatangaza matokeo ya kifedha 2025, yapata faida 55%
March 19, 2026
Equity yatangaza matokeo ya kifedha 2025, yapata faida 55%
DAR ES SALAAM: Equity Bank Group Holdings Plc imetangaza matokeo yake ya mwaka mzima ya mwaka 2025, yakiwa ni ya…