Tanzania, ATIDI kuendelea kuimarisha uwekezaji

DAR ES SALAAM :TANZANIA inaendelea kuimarisha mazingira ya uwekezaji na kuchochea ukuaji wa uchumi kupitia ushirikiano wake na Shirika la Bima ya Maendeleo ya Biashara na Uwekezaji Barani Afrika (ATIDI).
Shirika hilo limekuwa likidhamini miradi mikubwa ya sekta ya umma na binafsi, ikiwemo reli ya kisasa (SGR) na miradi mingine yenye thamani ya takriban dola bilioni 7.8, hatua inayosaidia kupunguza hatari na kuvutia wawekezaji wa ndani na wa kimataifa.
Waziri wa Fedha, Balozi Khamis Mussa Omar, amesema mchango wa ATIDI umeimarisha uwekezaji nchini na kurahisisha utekelezaji wa miradi ya kimkakati na kwamba ushirikiano huu ni nguzo muhimu katika kufanikisha mageuzi makubwa ya kiuchumi yanayotarajiwa katika Dira ya Maendeleo 2025.

Amesisitiza kuwa ushirikiano kati ya sekta ya umma, binafsi na taasisi za kifedha ni muhimu ili kuhakikisha miradi inatekelezwa kwa ufanisi na kuvutia mitaji zaidi.
Ofisa Mwandamizi wa Bima ya Maendeleo ya Biashara na Uwekezaji Barani Afrika (ATIDI) Albert Rweyemamu, amesema shirika lake linaendelea kutoa dhamana na suluhisho za bima kwa miradi mikubwa, hatua inayowawezesha wawekezaji kupunguza hatari na kuongeza tija,Majukwaa kama haya yanasaidia kuvutia mitaji na kuhakikisha miradi ya maendeleo inatekelezwa kwa usahihi.
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo Tanzania (TIB), Deogratius Kwiyukwa, amesema uwepo wa ATIDI unachangia kuimarisha imani ya wawekezaji, hasa katika miradi mikubwa ya kimkakati,amesema makampuni ya bima na mashirika ya kifedha yana nafasi muhimu katika kupunguza hatari na kuendeleza ushirikiano wa PPP ili kuchochea ukuaji wa uchumi.




[Chorus: A.T., Ray C]
We mama
Eh
Ntilie, unijazie
Ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
We mama
Eh
Ntilie, nifurahie
Naona umeshaanza visa, bora nikuuzie
[Verse 1: A.T.,Gelly Wa Rhymes,Ray-C]
We mama nipe kidogo
Ile nijikune kisogo
Leo mimi nimekuja ni kigogo
Nikae ila usilete zogo
Mama unitilie, unijazie
Na kama nitamwaga, sitozoa mie
Nipe utamu, utamu, mashamu, shamu
Mpaka mimi ni nipandwe na wazimu, yeah
Basi wacha papara, nikikupa utalala
Hapa ni pa biashara, na utakuja nikera
[Chorus: A.T., Ray C]
We mama
Eh
Ntilie, unijazie
Ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
We mama
Eh
Ntilie, nifurahie
Naona umeshaanza visa, bora nikuuzie
[Chorus: A.T., Ray C]
We mama
Eh
Ntilie, unijazie
Ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
We mama
Eh
Ntilie, nifurahie
Naona umeshaanza visa, bora nikuuzie
[Verse 1: A.T.,Gelly Wa Rhymes,Ray-C]
We mama nipe kidogo
Ile nijikune kisogo
Leo mimi nimekuja ni kigogo
Nikae ila usilete zogo
Mama unitilie, unijazie
Na kama nitamwaga, sitozoa mie
Nipe utamu, utamu, mashamu, shamu
Mpaka mimi ni nipandwe na wazimu, yeah
Basi wacha papara, nikikupa utalala
Hapa ni pa biashara, na utakuja nikera
[Chorus: A.T., Ray C]
We mama
Eh
Ntilie, unijazie
Ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
We mama
Eh
Ntilie, nifurahie
Naona umeshaanza visa, bora nikuuzie
[Chorus: A.T., Ray C]
We mama
Eh
Ntilie, unijazie
Ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
We mama
Eh
Ntilie, nifurahie
Naona umeshaanza visa, bora nikuuzie
[Verse 1: A.T.,Gelly Wa Rhymes,Ray-C]
We mama nipe kidogo
Ile nijikune kisogo
Leo mimi nimekuja ni kigogo
Nikae ila usilete zogo
Mama unitilie, unijazie
Na kama nitamwaga, sitozoa mie
Nipe utamu, utamu, mashamu, shamu
Mpaka mimi ni nipandwe na wazimu, yeah
Basi wacha papara, nikikupa utalala
Hapa ni pa biashara, na utakuja nikera
[Chorus: A.T., Ray C]
We mama
Eh
Ntilie, unijazie
Ahadi nimeshakupa, subiri nikugaie
We mama
Eh
Ntilie, nifurahie
Naona umeshaanza visa, bora nikuuzie.
Start making cash right now… Get more time with your family by doing jobs that only require for you to have a computer and an internet access and you can have that at your home. Starvt bringing up to $18012 a month. I’ve started this job and I’ve never been happier and now I am sharing it with you, so you can try it too. You can check it out here…
HERE→→→→→ https://PayAtHome1.Com/