TTFC Yaitaka Serikali Kudhibiti Tumbaku

CHAMA cha Kudhibiti Tumbaku Tanzania (TTFC) kimeiomba Serikali kupeleka bungeni muswada wa sheria ya kudhibiti matumizi ya tumbaku ili kupunguza madhara ya kiafya yanayosababishwa na bidhaa hiyo.

Wito huo umetolewa na Mkurugenzi Mtendaji wa TTFC, Lutgard Kagaruki, wakati wa uzinduzi wa ripoti inayoangazia ushawishi wa makampuni ya tumbaku katika sera za afya nchini. Dk. Kagaruki amesema utafiti huo hufanyika kila baada ya miaka miwili tangu mwaka 2019 huku akibainisha kuwa Tanzania bado haifanyi vizuri katika kudhibiti matumizi ya tumbaku kimataifa.

Kwa  upande wake,Mkurugenzi Mtendaji wa Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI), Peter Kisenge amesema magonjwa ya moyo ni miongoni mwa visababishi vikuu vya vifo duniani yakisababisha takriban vifo milioni 20 kila mwaka. Ameeleza kuwa matumizi ya tumbaku, uvutaji wa sigara, kiwango kikubwa cha sukari mwilini pamoja na shinikizo la damu ni baadhi ya sababu kuu za magonjwa hayo.

Naye daktari bingwa wa magonjwa ya ndani na mfumo wa upumuaji Mwanaada Kilima, amesema mapato ya kodi yatokanayo na tumbaku ni takriban shilingi bilioni 200 kwa mwaka, huku gharama za matibabu kwa waathirika zikifikia zaidi ya shilingi bilioni 800. SOMA: Wakulima wa tumbaku kulipwa bil 13/- za mbolea ya ruzuku

Ripoti hiyo ya TTFC pia inaonesha kuwa Tanzania bado haijafanya vizuri katika kudhibiti matumizi ya tumbaku licha ya kuwa mwanachama wa World Health Organization (WHO) na kusaini mikataba ya kimataifa ya kudhibiti tumbaku.

 

 

Habari Zifananazo

5 Comments

  1. JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 12000-16700 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..
    .
    This is my main concern…………………… http://Www.Cash54.Com

  2. I just came across this amazing way to earn $11,000-$15,000 a month online! No selling, no struggle—just a simple system that anyone can follow. Mia Westbrook did it, and so can you! Don’t miss out on this life-changing opportunity……….
    .
    This is what I do…………………… http://Www.Payathome9.Com

  3. Смотрите видео для взрослых на безопасных и надежных платформах.

    Найдите гарантированные источники видео для первоклассного опыта.

    my web page: BEST ANAL PORN SITE

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button