Aeleza jinsi majirani walivyopoteza maisha
Rais Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Elibariki Naman mkazi wa Jorodom, Katesh, ambaye ni muathirika wa mafuriko yaliyotokea wilayani Hanang. Elibariki alikuwa akielezea jinsi majirani zake walivyopoteza maisha pamoja na makazi yao katika maafa hayo.