Matukio sherehe za Muungano Uwanja wa Uhuru

DAR ES SALAAM; Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Samia Suluhu Hassan akiwapungia mkono wananchi mara baada ya kushuka kwenye gari Maalum la Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), wakati wa Sherehe za Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo Aprili 26, 2024.

Habari Zifananazo

Back to top button