Year: 2025

Mafuta

Tanzania yaadhimisha siku ya usafiri majini

DAR-ES-SALAAM : TANZANIA leo imeungana na mataifa mengine duniani kuadhimisha Siku ya Usafiri Majini Duniani, ambapo Mkurugenzi Mkuu wa Shirika…

Soma Zaidi »
Chaguzi

CCM haisemi kutoka ndotoni-Samia

MGOMBEA wa urais kupitia Chama cha Mpinduzi(CCM), Rais Samia Suluhu Hassan ametoa ahadi za kuchochea maendeleo ya Jimbo la Mchinga…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Nabii Mkuu Dk Geo Davie achangia mil 50/-, kampeni za Dk Samia Arusha

KIONGOZI wa Kanisa la Ngurumo ya Upako lenye Makao Makuu yake mkoani Arusha Nabii Mkuu Dk Geo Davie amekabidhi shilingi…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Ahadi za wengine ni maigizo tu

MCHINGA : MGOMBEA wa urais kupitia Chama cha Mapinduzi(CCM), Rais Samia Suluhu Hassan  amewataka kukiamini sera za chama chake na…

Soma Zaidi »
Biashara

TADB yajenga uelewa, kusogeza huduma kwa wakulima Kagera

KATIKA kuendeleza dhamira yake ya kuchochea maendeleo ya kilimo nchini, Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imeendesha semina maalum…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Wagombea udiwani Ngorongoro waomba bajeti kusukuma miradi

NGORONGORO: WAGOMBEA udiwani wa Jimbo la Ngorongoro mkoani Arusha wamesema kuwa bajeti ya maendeleo ya Halmashauri ya Wilaya hiyo ya…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Dk Kiruswa awataka Longido kumheshimisha Dk Samia

ARUSHA: MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Longido mkoani Arusha kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk Steven Kiruswa amewaomba…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Rihanna apata mtoto wa kike

MWANAMUZIKI nyota wa muziki wa Pop duniani, Rihanna, amejaaliwa mtoto wake wa tatu, binti, na mpenzi wake A$AP Rocky, nchini…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Dk. Nchimbi aahidi kukarabati barabara 16 Kilolo

IRINGA : MGOMBEA Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amesema dhamira ya Chama Cha Mapinduzi…

Soma Zaidi »
Chaguzi

UJUMBE KUELEKEA UCHAGUZI MKUU OKTOBA 29/2025

KUELEKEA uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29 mwaka huu, kijana Joshua Atanazi ametoa ujumbe wake amewataka vijana na wananchi kwa…

Soma Zaidi »
Back to top button