Year: 2025

Dini

Krismasi yamfungulia fursa Rasta

SIKUKUU ya Krismasi imeendelea kuwa chanzo cha fursa kwa wananchi, hususan wale wanaojishughulisha na huduma katika maeneo ya burudani. Wilayani…

Soma Zaidi »
Tanzania

Walindeni watoto ufukweni

WAZAZI na walezi wametakiwa kuwa makini wanapowaruhusu watoto wao kwenda baharini kusherehekea, hususan katika kipindi cha sikukuu, ili kuepusha matukio…

Soma Zaidi »
Dini

Askofu Mlola:Tusiharibu tunu ya amani

WATANZANIA  wametakiwa kulinda na kutunza tunu ya taifa ya amani, umoja na mshikamano, pamoja na kujiepusha na mambo yanayoweza kusababisha…

Soma Zaidi »
Dini

Askofu Kassalla: Msivunje agano la amani

ASKOFU wa Jimbo Katoliki la Geita, Flavian Kassalla, ametoa wito kwa Watanzania kujenga tabia ya uungwana katika ushindani wa kisiasa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Polisi Mtwara wajipanga usalama Krismasi

MTWARA: JESHI la Polisi mkoani Mtwara kwa kushirikiana na wananchi pamoja na  vyombo vingine vya dola limesema kuelekea sikukuu za…

Soma Zaidi »
Dini

Wakristo wasisitizwa kuishi kwa Upendo, Amani

WAUMINI katika makanisa mbalimbali Zanzibar wametakiwa kuenzi upendo, amani na maadili mema katika maisha yao ya kila siku kama maana…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

“Kumbe bado yumo eh!”

RAIS wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni, amezindua rasmi Uwanja wa Hoima City wenye uwezo wa kuchukua watazamaji 20,000, sehemu ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Sh milioni 90 kuleta neema ya maji Sinonik

LONGIDO: Fedha Sh milioni 90 zimechangwa ili kuvuta maji kutoka chanzo cha maji kilichopo kata ya Sinonik, Wilaya ya Longido…

Soma Zaidi »
Amerika

Diddy aomba rufaa kupinga kifungo

MSANII maarufu wa muziki wa rap, Sean “Diddy” Combs, ameomba Mahakama ya Rufaa ya Marekani imwachilie huru na kutengua hukumu…

Soma Zaidi »
Dini

Rais Samia:Krismasi itukumbushe upendo

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, amewataka Wakristo na Watanzania wote kuitumia Sikukuu ya Krismasi…

Soma Zaidi »
Back to top button