WAZIRI Mkuu, Mwigulu Nchemba leo anatarajiwa kuwa na ziara ya kikazi mkoani Morogoro.
Taarifa ya Ofisi ya Waziri Mkuu imesema lengo la ziara hiyo ni kukagua ujenzi wa Bwawa la Maji Kidunda na Madhara ya mvua maeneo ya Kidete, Godegode na Gulwe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)