Cheti cha heshima

MBEYA: Rasi wa Chuo Kikuu Mzumbe Ndaki ya Mbeya, Prof. Henry Mollel akimkabidhi cheti cha shukrani Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ys Sekta ya Umma na Binafsi, David Kafulila.
Cheti hiko ni baada ya kushiriki kikamilifu katika Mhadhara wa Umma kuhusu nafasi ya Vyuo Vikuu na Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi kutekeleza Dira 2050. Mhadhara huo umefanyika tarehe 3 Julai 2026 kwenye ukumbi wa Nkurumah-Ndaki ya Mbeya.



