Waziri Kapinga akabidhi tuzo za ubora, aipa neno TBS kimataifa

DAR ES SALAAM: Waziri wa Viwanda na Biashara, Judith Kapinga, ametoa Tuzo za Ubora za Kitaifa Mwaka 2026 katika hafla ya Usiku wa Viwango na Tuzo za Ubora iliyoandaliwa na Shirika la Viwango Tanzania (TBS), jijini Dar es Salaam.
Akizungumza katika hafla hiyo, Waziri Kapinga ameitaka TBS kuendelea kuboresha viwango vya bidhaa na huduma ili kuongeza ushindani wa bidhaa za Tanzania katika masoko ya ndani na kimataifa.
Amesisitiza kuwa ubora ni msingi wa kujenga uchumi shindani, kuongeza thamani ya bidhaa na kufungua fursa zaidi za biashara, sambamba na utekelezaji wa maono ya Rais wa Tanzania Dk Samia Suluhusu Hassan.

Ameeleza kuwa Serikali inaendelea kuimarisha miundombinu ya ubora, ikiwemo maabara, mifumo ya ukaguzi, upimaji na uthibitishaji wa bidhaa, huku akihimiza TBS kuongeza elimu na ujuzi kwa wazalishaji, ili kukidhi viwango vya masoko ya kimataifa.
Waziri Kapinga pia amewataka wafanyabiashara kutambua kuwa viwango ni uwekezaji na si gharama, huku akihamasisha matumizi ya bidhaa zinazozalishwa nchini kupitia chapa ya Made in Tanzania.

Amewapongeza washindi wa tuzo hizo na kuwataka kuendelea kudumisha ubora wa bidhaa na huduma zao ili kulinda chapa zao na kuipeperusha vyema bendera ya Tanzania katika masoko ya kikanda na kimataifa.

DODOSO LA UTAFITI WA HALI YA UCHUMI
WA MWANANCHI WA TANZANIA
Kipato, hali ya maisha, upatikanaji wa kipato na huduma za kijamii katika mtaa
UTANGULIZI NA RIDHAA YA MSHIRIKI
Dodoso hili linakusanya taarifa kwa madhumuni ya kutathmini hali ya uchumi wa wananchi wa Tanzania. Ushiriki ni wa hiari. Majibu yatatumika kwa utafiti na yatachambuliwa kwa usiri; si lazima kuandika jina lako. Unaweza kuruka swali ambalo hutaki kulijibu.
Je, unakubali kushiriki katika utafiti huu? ☐ Ndiyo ☐ Hapana
Tarehe: ____/____/________ Mkoa: __________________ Wilaya: __________________
Kata: __________________ Mtaa/Kijiji: __________________ Namba ya dodoso: __________
Maelekezo: Kwa kila swali, weka alama ya ✓ kwenye jibu moja linalokufaa, isipokuwa pale ambapo imeelezwa kuwa unaweza kuchagua zaidi ya jibu moja. Kwa maswali ya kaya, jibu kwa kuzingatia watu wanaoishi na kula pamoja katika kaya yako.
SEHEMU A: TAARIFA ZA MSINGI ZA MSHIRIKI
1. Jinsia yako ni ipi?
☐ Mwanaume ☐ Mwanamke ☐ Sipendi kusema
2. Una umri gani?
☐ Chini ya miaka 18 ☐ 18–24 ☐ 25–34 ☐ 35–44 ☐ 45–54 ☐ 55–64 ☐ Miaka 65 au zaidi
3. Hali yako ya ndoa ikoje?
☐ Sijaoa/Sijaolewa ☐ Nimeoa/Nimeolewa ☐ Nimetengana ☐ Nimeachika ☐ Mjane/Mgane
4. Kiwango chako cha elimu ni kipi?
☐ Sijasoma ☐ Elimu ya msingi ☐ Sekondari ya chini ☐ Sekondari ya juu ☐ Astashahada ☐ Stashahada ☐ Shahada ☐ Uzamili/Uzamivu
5. Unaishi eneo gani?
☐ Mjini ☐ Pembezoni mwa mji ☐ Kijijini
6. Unaishi katika makazi ya aina gani?
☐ Nyumba yangu ☐ Nyumba ya kupanga ☐ Nyumba ya ndugu/rafiki ☐ Nyumba ya mwajiri ☐ Makazi ya muda/nyumba isiyo rasmi
7. Unaishi na watu wangapi katika kaya yako, ukijumuisha wewe?
☐ Mtu 1 ☐ 2–3 ☐ 4–5 ☐ 6–7 ☐ 8 au zaidi
8. Ni watu wangapi katika kaya yako wanaopata kipato?
☐ Hakuna ☐ Mtu 1 ☐ Watu 2 ☐ Watu 3 ☐ Watu 4 au zaidi
9. Je, wewe ndiye mkuu wa kaya?
☐ Ndiyo ☐ Hapana ☐ Tunashirikiana uongozi wa kaya
10. Una watu wangapi wanaokutegemea kifedha?
☐ Hakuna ☐ 1–2 ☐ 3–4 ☐ 5–6 ☐ 7 au zaidi
SEHEMU B: KIPATO NA MAPATO YA KILA SIKU
11. Kwa wastani, wewe binafsi unapata kipato kiasi gani kwa siku?
☐ Sina kipato ☐ Chini ya TSh 2,000 ☐ TSh 2,000–5,000 ☐ TSh 5,001–10,000 ☐ TSh 10,001–20,000 ☐ TSh 20,001–50,000 ☐ Zaidi ya TSh 50,000 ☐ Kipato hubadilika sana
12. Kaya yako kwa wastani hupata kipato kiasi gani kwa siku?
☐ Sina uhakika ☐ Chini ya TSh 5,000 ☐ TSh 5,000–10,000 ☐ TSh 10,001–20,000 ☐ TSh 20,001–40,000 ☐ TSh 40,001–70,000 ☐ TSh 70,001–100,000 ☐ Zaidi ya TSh 100,000
13. Kipato chako kikuu kinatokana na nini?
☐ Ajira ya mshahara ☐ Biashara ☐ Kilimo ☐ Ufugaji/Uvuvi ☐ Kazi za vibarua ☐ Huduma/ufundi ☐ Pensheni ☐ Msaada wa ndugu/rafiki ☐ Chanzo kingine
14. Unapata kipato mara ngapi?
☐ Kila siku ☐ Kila wiki ☐ Kila baada ya wiki mbili ☐ Kila mwezi ☐ Msimu fulani ☐ Hakina mpangilio
15. Kipato chako hubadilika kwa kiwango gani?
☐ Hakibadiliki sana ☐ Hubadilika kidogo ☐ Hubadilika kwa kiasi kikubwa ☐ Hakina uhakika kabisa
16. Katika siku 30 zilizopita, ulipata kipato kwa siku ngapi?
☐ Siku 0 ☐ Siku 1–5 ☐ Siku 6–10 ☐ Siku 11–20 ☐ Siku 21–30
17. Je, una chanzo zaidi ya kimoja cha kipato?
☐ Ndiyo, vyanzo 2 ☐ Ndiyo, vyanzo 3 au zaidi ☐ Hapana, chanzo 1 ☐ Sina chanzo cha kipato
18. Ni kiasi gani cha kipato chako hutokana na chanzo kikuu?
☐ Chini ya 25% ☐ 25–49% ☐ 50–74% ☐ 75–100% ☐ Sina uhakika
19. Je, kipato chako kinatosha kugharamia mahitaji ya msingi?
☐ Ndiyo, kinatosha na kubaki ☐ Kinatosha kwa shida ☐ Hakit oshi mahitaji yote ☐ Hakit oshi hata mahitaji ya msingi
20. Katika miezi 12 iliyopita, kipato chako kimebadilikaje?
☐ Kimeongezeka ☐ Kimepungua ☐ Hakijabadilika ☐ Kimekuwa kikibadilika ☐ Sikuwa na kipato
21. Je, unapokea mshahara au malipo kwa wakati?
☐ Kila mara ☐ Mara nyingi ☐ Wakati mwingine ☐ Mara chache ☐ Situmiki kwa mshahara
22. Je, una akiba ya fedha kwa sasa?
☐ Ndiyo, ya kutosha ☐ Ndiyo, lakini ni ndogo ☐ Hapana ☐ Ninaweka akiba mara kwa mara lakini huitumia
23. Unaweza kujiendesha kwa muda gani bila kupata kipato?
☐ Chini ya wiki 1 ☐ Wiki 1–2 ☐ Wiki 3–4 ☐ Mwezi 1–3 ☐ Zaidi ya miezi 3 ☐ Sina uhakika
24. Je, umewahi kukosa kipato kwa sababu ya ukosefu wa kazi au wateja?
☐ Mara nyingi ☐ Wakati mwingine ☐ Mara chache ☐ Hapana
25. Ni njia gani unayotumia zaidi kupokea kipato?
☐ Fedha taslimu ☐ Simu ya mkononi ☐ Benki ☐ Hundi ☐ Njia nyingine
SEHEMU C: HALI YA MAISHA NA UWEZO WA KUGHARIMIA MAHITAJI
26. Kwa mtazamo wako, hali yako ya maisha kiuchumi ni ipi?
☐ Tajiri/ya juu ☐ Ya kati ☐ Masikini ☐ Masikini sana ☐ Ni vigumu kujipima
27. Je, kaya yako inaweza kumudu chakula cha kutosha kila siku?
☐ Ndiyo, bila shida ☐ Ndiyo, kwa kubana matumizi ☐ Wakati mwingine tunapunguza milo ☐ Mara nyingi tunakosa chakula cha kutosha
28. Kwa siku za kawaida, kaya yenu hula milo mingapi?
☐ Mlo 1 ☐ Milo 2 ☐ Milo 3 ☐ Zaidi ya milo 3 ☐ Hutegemea upatikanaji wa chakula
29. Je, umewahi kulala bila kula kwa sababu ya ukosefu wa fedha katika mwezi uliopita?
☐ Ndiyo, mara nyingi ☐ Ndiyo, mara chache ☐ Hapana
30. Je, unaweza kumudu gharama za kodi ya nyumba bila kuchelewa?
☐ Ndiyo ☐ Kwa shida ☐ Hapana ☐ Sihusiki/kwaishi kwenye nyumba yangu
31. Je, kaya yako ina umeme?
☐ Ndiyo, gridi ya taifa ☐ Ndiyo, sola ☐ Chanzo kingine ☐ Hapana
32. Chanzo kikuu cha maji ya matumizi ya nyumbani ni kipi?
☐ Bomba la maji ndani ya nyumba ☐ Bomba la jirani/mtaani ☐ Kisima ☐ Mto/Ziwa ☐ Maji ya kununua ☐ Mvua ☐ Chanzo kingine
33. Je, gharama ya maji ni nafuu kwa kaya yako?
☐ Ndiyo ☐ Kwa kiasi ☐ Hapana ☐ Tunapata maji bila malipo
34. Unatumia nishati gani kupikia mara nyingi?
☐ Umeme ☐ Gesi ☐ Mkaa ☐ Kuni ☐ Mabaki ya mimea/biogas ☐ Nyingine
35. Je, unaweza kumudu gharama za matibabu unapougua?
☐ Ndiyo, bila shida ☐ Ndiyo, kwa shida ☐ Hapana ☐ Hutegemea aina ya ugonjwa
36. Una bima ya afya?
☐ Ndiyo, ya umma ☐ Ndiyo, ya binafsi ☐ Ndiyo, kupitia mwajiri ☐ Hapana
37. Je, watoto wa kaya yako walio katika umri wa shule wanahudhuria shule?
☐ Wote ☐ Wengi ☐ Baadhi ☐ Hakuna ☐ Sina watoto wa umri wa shule
38. Je, unaweza kumudu sare, vifaa na michango halali ya shule?
☐ Ndiyo ☐ Kwa shida ☐ Hapana ☐ Sina watoto wa shule
39. Je, una deni kwa sasa?
☐ Hapana ☐ Ndiyo, deni dogo ☐ Ndiyo, deni la wastani ☐ Ndiyo, deni kubwa
40. Mapato yako yanatosha kulipa madeni kwa wakati?
☐ Ndiyo ☐ Kwa shida ☐ Hapana ☐ Sina madeni
41. Je, unaweza kununua nguo na viatu vinavyohitajika kwa familia?
☐ Ndiyo, bila shida ☐ Ndiyo, lakini si mara zote ☐ Kwa shida ☐ Hapana
42. Je, una usafiri wa uhakika wa kwenda kazini/biashara?
☐ Ndiyo, wangu binafsi ☐ Ndiyo, wa umma ☐ Hapana/huenda kwa miguu ☐ Hutegemea siku
43. Je, kaya yako ina vifaa gani vya mawasiliano?
☐ Simu janja ☐ Simu ya kawaida ☐ Kompyuta/kompyuta mpakato ☐ Hakuna ☐ Zaidi ya kimoja
44. Je, unaweza kumudu gharama za intaneti au vifurushi?
☐ Ndiyo, mara kwa mara ☐ Wakati mwingine ☐ Kwa shida ☐ Hapana
45. Katika miezi 12 iliyopita, hali yako ya maisha imebadilikaje?
☐ Imeimarika ☐ Imeendelea vilevile ☐ Imezorota ☐ Inabadilika mara kwa mara
SEHEMU D: UPATIKANAJI WA KIPATO, AJIRA NA FURSA
46. Kwa sasa hali yako ya ajira ni ipi?
☐ Nimeajiriwa rasmi ☐ Nimejiajiri ☐ Nafanya kazi zisizo rasmi ☐ Sina kazi natafuta ☐ Sina kazi sitafuti ☐ Mwanafunzi ☐ Mstaafu
47. Kwa muda gani umekuwa katika shughuli yako kuu ya kipato?
☐ Chini ya miezi 6 ☐ Miezi 6–12 ☐ Miaka 1–3 ☐ Miaka 4–5 ☐ Zaidi ya miaka 5 ☐ Sina shughuli ya kipato
48. Je, ni rahisi kupata kazi au shughuli ya kuingiza kipato katika eneo lako?
☐ Rahisi sana ☐ Rahisi kiasi ☐ Ni vigumu ☐ Ni vigumu sana ☐ Sijui
49. Ni kikwazo gani kikubwa kinachokuzuia kupata kipato?
☐ Ukosefu wa ajira/fursa ☐ Mtaji mdogo ☐ Elimu/ujuzi mdogo ☐ Ukosefu wa vifaa ☐ Masoko/wateja wachache ☐ Afya/ulemavu ☐ Usafiri/miundombinu ☐ Hakuna kikwazo kikubwa ☐ Kingine
50. Je, una ujuzi unaoweza kukuingizia kipato?
☐ Ndiyo, ujuzi wa ufundi ☐ Ndiyo, biashara/kuuza ☐ Ndiyo, teknolojia/kompyuta ☐ Ndiyo, kilimo/ufugaji ☐ Ndiyo, huduma nyingine ☐ Sina ujuzi maalumu
51. Je, umewahi kupata mafunzo ya ujasiriamali au ufundi?
☐ Ndiyo, ndani ya mwaka 1 ☐ Ndiyo, zaidi ya mwaka 1 uliopita ☐ Hapana, lakini nahitaji ☐ Hapana, sihitaji
52. Je, unahitaji mtaji ili kuongeza kipato?
☐ Ndiyo, sana ☐ Ndiyo, kiasi ☐ Hapana ☐ Sina uhakika
53. Umewahi kuomba mkopo kwa ajili ya shughuli ya kipato?
☐ Ndiyo, na nilipata ☐ Ndiyo, lakini sikupata ☐ Hapana, sijawahi ☐ Sijawahi kwa sababu ya masharti/riba
54. Chanzo chako kikuu cha mtaji ni kipi?
☐ Akiba binafsi ☐ Familia/ndugu ☐ Benki ☐ SACCOS/VICOBA ☐ Taasisi za mikopo ☐ Ruzuku/msaada ☐ Sina mtaji ☐ Chanzo kingine
55. Je, masharti ya mikopo yanapatikana kwa urahisi kwako?
☐ Ndiyo ☐ Kwa kiasi ☐ Hapana ☐ Sijawahi kuomba mkopo
56. Je, umewahi kupata hasara katika biashara au shughuli yako?
☐ Ndiyo, mara nyingi ☐ Ndiyo, mara chache ☐ Hapana ☐ Sijawahi kufanya biashara/shughuli
57. Hasara uliyopata iliathirije maisha yako?
☐ Haikuathiri sana ☐ Ilipunguza akiba/mtaji ☐ Ilinifanya nikopeshe/niwe na deni ☐ Ilinifanya nishindwe kumudu mahitaji ☐ Sijapata hasara
58. Je, unapata msaada wa kifedha au wa vifaa kutoka kwa ndugu/rafiki?
☐ Mara kwa mara ☐ Wakati mwingine ☐ Mara chache ☐ Hapana
59. Je, unapata msaada wowote kutoka serikali au taasisi za kijamii?
☐ Ndiyo, mara kwa mara ☐ Ndiyo, mara chache ☐ Hapana ☐ Sijui huduma hizo
60. Je, una taarifa za fursa za ajira, zabuni au mikopo?
☐ Ninapata mara kwa mara ☐ Ninapata wakati mwingine ☐ Ninapata mara chache ☐ Sizipati kabisa
61. Unapata taarifa za fursa hizo kupitia njia gani?
☐ Redio/TV ☐ Mitandao ya kijamii ☐ Tovuti/taasisi rasmi ☐ Viongozi wa mtaa ☐ Marafiki/ndugu ☐ Mikutano/majukwaa ☐ Situmii njia hizo
62. Je, unatumia simu au intaneti kutafuta wateja/kazi?

63. Je, biashara au kazi yako ina soko la uhakika?
☐ Ndiyo, soko la uhakika ☐ Soko lipo lakini si la uhakika ☐ Wateja ni wachache ☐ Sina biashara/kazi
64. Je, gharama za usafiri zinakuzuia kufikia kazi au soko?

65. Unatarajia hali yako ya kipato katika miezi 12 ijayo itakuwaje?
☐ Kuongezeka ☐ Kubaki vilevile ☐ Kupungua ☐ Sina uhakika
SEHEMU E: HUDUMA ZA KIJAMII NA MIUNDOMBINU KATIKA MTAA
66. Je, katika mtaa/kijiji chako kuna shule ya msingi?
☐ Ndiyo ☐ Hapana ☐ Sijui
67. Kuna shule ya sekondari ndani ya mtaa/kijiji au karibu?
☐ Ndani ya mtaa/kijiji ☐ Karibu na mtaa/kijiji ☐ Hakuna iliyo karibu ☐ Sijui
68. Kuna zahanati au kituo cha afya katika eneo lako?
☐ Ndani ya mtaa/kijiji ☐ Karibu ☐ Mbali ☐ Hakuna/Sijui
69. Kuna hospitali inayofikika kwa urahisi?
☐ Ndiyo, karibu ☐ Ndiyo, lakini iko mbali ☐ Hapana ☐ Sijui
70. Kuna huduma ya maji safi na salama katika mtaa?
☐ Ndiyo, inapatikana muda wote ☐ Ndiyo, lakini hukatika ☐ Inapatikana kwa sehemu ☐ Haipatikani
71. Kuna umeme katika eneo lako?
☐ Karibu nyumba zote ☐ Nyumba nyingi ☐ Nyumba chache ☐ Hakuna kabisa
72. Kuna barabara inayopitika mwaka mzima?
☐ Ndiyo, imejengwa kwa lami ☐ Ndiyo, changarawe ☐ Barabara ya udongo inayopitika ☐ Hapana, hukatika wakati wa mvua
73. Kuna usafiri wa umma unaopatikana kwa urahisi?
☐ Mara kwa mara ☐ Wakati fulani ☐ Ni mgumu kupatikana ☐ Hakuna
74. Kuna soko au eneo rasmi la biashara?
☐ Ndani ya mtaa ☐ Karibu na mtaa ☐ Mbali ☐ Hakuna
75. Kuna benki, wakala wa benki au huduma za fedha karibu?
☐ Huduma zaidi ya moja ☐ Huduma moja ☐ Zipo lakini mbali ☐ Hakuna
76. Kuna huduma za simu na mawasiliano zenye mtandao wa uhakika?
☐ Mtandao ni mzuri ☐ Wastani ☐ Dhaifu ☐ Hakuna mtandao wa uhakika
77. Kuna kituo cha polisi au huduma ya ulinzi karibu?
☐ Ndani ya mtaa ☐ Karibu ☐ Mbali ☐ Hakuna/Sijui
78. Kuna ofisi ya serikali ya mtaa/kijiji inayofikika?
☐ Ndiyo, ndani ya eneo ☐ Ndiyo, lakini mbali ☐ Hapana/Sijui
79. Kuna huduma ya ukusanyaji taka?
☐ Mara kwa mara ☐ Mara chache ☐ Wananchi hujitegemea ☐ Hakuna huduma
80. Kuna mifereji ya maji ya mvua inayofanya kazi?
☐ Ndiyo, inatosha ☐ Ipo lakini haitoshi ☐ Ipo lakini imeziba/haribika ☐ Hakuna
81. Kuna vyoo vya umma au huduma za usafi wa mazingira?
☐ Ndiyo, vinatosha ☐ Vipo lakini havitoshi ☐ Vipo lakini haviko katika hali nzuri ☐ Hakuna
82. Kuna kituo cha huduma za watoto wadogo/chekechea?
☐ Ndani ya mtaa ☐ Karibu ☐ Mbali ☐ Hakuna
83. Kuna kituo au huduma za watu wenye ulemavu na mahitaji maalumu?

84. Kuna huduma za vijana kama maktaba, kituo cha mafunzo au michezo?

85. Kuna huduma za ustawi wa jamii au msaada kwa wazee na makundi yenye uhitaji?

SEHEMU F: TATHMINI YA JUMLA NA MAPENDEKEZO
86. Kwa ujumla, unaridhika kwa kiwango gani na hali yako ya uchumi?
☐ Nimeridhika sana ☐ Nimeridhika ☐ Sijaridhika ☐ Sijaridhika kabisa
87. Ni eneo gani linahitaji kuboreshwa zaidi ili kuongeza kipato chako?
☐ Ajira ☐ Mitaji/mikopo nafuu ☐ Mafunzo ya ujuzi ☐ Masoko ☐ Miundombinu ☐ Teknolojia ☐ Huduma za kijamii ☐ Mengineyo
88. Ni huduma ipi ya kijamii inayokosekana zaidi katika mtaa wako?
☐ Maji ☐ Afya ☐ Elimu ☐ Barabara/usafiri ☐ Umeme ☐ Usafi/taka ☐ Usalama ☐ Huduma za fedha ☐ Nyingine
89. Unadhani hali ya uchumi wa wananchi katika mtaa wako ikoje kwa ujumla?
☐ Nzuri ☐ Wastani ☐ Mbaya ☐ Mbaya sana ☐ Sina uhakika
90. Ni hatua ipi ingesaidia zaidi kupunguza umaskini katika eneo lako?
☐ Kuongeza ajira ☐ Kutoa mikopo nafuu ☐ Kuboresha elimu/mafunzo ☐ Kusaidia wakulima na wafanyabiashara ☐ Kuboresha huduma za kijamii ☐ Kuboresha miundombinu ☐ Nyingine