Dk Mwinyi ahudhuria ufunguzi Ikulu Chamwino

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, amewasili jijini Dodoma kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa Ikulu Mpya Chamwino.

Katika uwanja wa ndege wa Dodoma amepokewa na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Rosemary  Senyamule na viongozi waandamizi wa mkoa huo.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button