Waziri Slaa ateua bodi mpya

DAR ES SALAM: WAZIRI wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Jerry Silaa, amemteua Tido Mhando kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Ithibati ya Wanahabari.

Kwa mujibu wa Taarifa ya Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali wa wizara hiyo, Isabela Maria Katondo imeeleza kuwa wajumbe wa Bodi hiyo Thobias Makoba, Mgaya Kingoba, Dk. Rose Reuben, Dk. Egbert Mkoko na Ladislaus Komanya.

Bodi hiyo imeanzishwa kwa mujibu wa kifungu cha 11 cha Sheria ya Huduma ya Vyombo vya Habari Na. 12 ya mwaka 2016.

Habari Zifananazo

Back to top button