Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Mwenyekiti wa kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) kutoka China, Fan Jun na ujumbe wake waliofika Ikulu Mnazi Mmoja, Zanzibar leo Novemba 15.(Picha na Ikulu Habari Zanzibar)