WAZIRI wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba, akipitia nyaraka kabla ya kuanza kwa Mkutano wa 46 wa Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji la Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika leo Novemba 28, Makao Makuu ya Jumuiya hiyo, jijini Arusha.
Mawaziri hao watajadiliana kuhusu utengamano wa kiuchumi na kibiashara miongoni mwa nchi wanachama wa jumuiya hiyo.(Picha na Wizara ya Fedha)