Matukio mbalimbali ziara ya Msigwa TSN

DAR ES SALAAM; Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa, leo amefanya ziara ya kutembelea Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) jijini Dar es Salaam na kuzungumza na Menejimenti ya TSN na kisha kukagua mradi wa ujenzi wa kiwanda cha uchapaji cha TSN. (Picha zote na Samwel Swai).

 

Habari Zifananazo

Back to top button