Rais Samia ashiriki mkutano SADC organ

RAIS Dk Samia Suluhu Hassan ambae pia ni Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC Organ) akishiriki mkutano wa asasi hiyo kwa njia ya mtandao, Ikulu jijini Dar es Salaam leo Machi 06.

Rais Samia Suluhu Hassan.

Mkutano huo umejadili masuala ya hali ya usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. (Picha na Ikulu)

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button