Majaliwa: Tunakoelekea SGR ni kuzuri

DODOMA; WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema mambo mazuri yanakuja kuhusiana an reli ya kisasa ya SGR.

Ametoa kauli hiyo leo bungeni, alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalumu, Asha Abdallah Juma aliyehoji mikakati ya serikali kuongeza safari za treni ya SGR kati ya Dar es Salaam-Dodoma.

“Nachukua kama mapendekezo ya kuongeza safari kwa sababu ya uhitaji mkubwa, nikuhakikishie tunakokwenda ni kuzuri zaidi, kuwa na safari nyingi zaidi,” amesema Waziri Mkuu na kuongeza kuwa hasa wakati huu wa treni ya mchongoko.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button