Katibu Mtendaji Tume ya Mipango ateta na Bakhressa

DAR ES SALAAM; Katibu Mtendaji wa Tume ya Taifa ya Mipango, Dk Fred Msemwa, amekutana na Mfanyabiashara mashuhuri barani Afrika, Said Salim Bakhresa, katika ofisi za Makampuni ya Bakhresa jijini Dar es Salaam.

Ziara hiyo ni sehemu ya jitihada za Tume ya Taifa ya Mipango kuwasiliana kwa karibu na wadau wakuu wa maendeleo ili kuhakikisha mipango ya taifa inaendana na mahitaji halisi ya sekta mbalimbali.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button