Gwaride maalumu kuhitimisha Bunge

DODOMA; Gwaride Maalumu la kuhitimisha Shughuli za Bunge la 12 la Tanzania likiwa tayari kumpokea Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Dk Samia Suluhu Hassan leo Juni 27, 2025 viwanja vya Bunge mjini Dodoma.