Dk Sovu akibidhiwa tuzo uendelezaji Kiswahili

DAR ES SALAAM: Mhadhiri, Mshtiti na Mchambuzi wa Lugha ya Kiswahili kutoka Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere Dk Ahmad Sovu ametunukiwa tuzo ya uendelezaji wa Kiswahili kupitia ufundishaji na uchapishaji wa makala.

Tunzo hiyo imetolewa na Baraza la Kiswahili la Zanzibar (BAKIZA) na Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA).

SOMA ZAIDI

Tuenzi Kiswahili, tukionee fahari

Tunzo hiyo imetolewa na Mheshimiwa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Hemed Suleman Abdulla katika katika kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Kiswahili Duniani yaliyofanyika katika ukumbi wa Polisi Ziwani jijini Zanzibar.

Dk Sovu ni Mshtiti na Mchambuzi wa Kiswahili na mbali ya ufundishaji na kuadika makala nyingi za Kiswahili lakini amekuwa mstari wa mbele katika kukuza na kuendeleza lugha ya Kiswahili ndani na nje ya Tanzania.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button