Mwenge wa Uhuru wawasili Geita

GEITA; MBIO za Mwenge wa Uhuru mwaka 2025 zimeingia rasmi mkoani Geita zikikitokea mkoani Mwanza Septemba 01, 2025, na ukiwa mkoani Geita Mwenge huo utakimbizwa kwenye wilaya tano za mkoa huo hadi Septemba 07, 2025.

Akizungumza mara baada ya kupokea Mwenge wa Uhuru, Mkuu wa Mkoa wa Geita, Martine Shigella alisema mwenge wa Uhuru ukiwa Mkoani Geita utakimbizwa umbali wa Km 653 katika halmashauri sita zenye jumla ya miradi  61.

Habari Zifananazo

2 Comments

    1. JOIN US Everybody can earn 250/h Dollar + daily 1K… You can earn from 6000-12000 Dollar a month or even more if you work as a part time job…It’s easy, just follow instructions on this page, read it carefully from start to finish… It’s a flexible job but a good earning opportunity. tab for more detail thank you……..

      HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button