Doha yalaani matamshi ya Israel

DOHA, Qatar : SERIKALI ya Qatar imelaani vikali kauli ya Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu,aliyeitaka nchi hiyo kuwatimua viongozi wa Hamas waliopo Doha. Kupitia mtandao wa kijamii wa X, Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar ilieleza kuwa matamshi ya Netanyahu ni kauli ya vitisho vya moja kwa moja dhidi ya mamlaka ya taifa hilo la Ghuba.

Kauli hizo zimetolewa siku moja baada ya mashambulizi ya Israel mjini Doha, yaliyodaiwa kulenga viongozi wa Hamas, na kuua watu sita katika shambulio hilo .SOMA: Shambulio la Israel latikisa Doha.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button