Mgombea Ubunge Fuoni Afariki Dunia

UNGUJA: MGOMBEA ubunge wa Jimbo la Fuoni, Zanzibar, Abbas Ali Hassan Mwinyi, amefariki dunia katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Mjini Magharibi, Lumumba.

Marehemu Abbas, ambaye alikuwa Mbunge wa Fuoni (2015–2020), alikuwa anagombea tena kutetea kiti chake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). SOMA : Wagombea Ubunge 49 wapitishwa na INEC Temeke

Mbali na siasa, Abbas Mwinyi alikuwa msomi, rubani wa ndege na nahodha wa meli, hivyo kuacha kumbukumbu pana ndani na nje ya ulingo wa siasa.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button