TENMET yapongeza ushirikiano wa serikali, wadau wa elimu

MRATIBU wa Mtandao wa Elimu Tanzania (TENMET), Martha Makala, ameipongeza Serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kuongeza wigo wa ushirikiano na wadau mbalimbali wa elimu hatua ambayo imeimarisha mahusiano na kuchochea utekelezaji wa kazi mbalimbali.

Makala amesema hayo leo Novemba 12, 2025 jijini Dar es Salaam katika hafla ya Uzinduzi wa Mpango wa utekelezaji Mwongozo wa kuwarejesha shuleni wanafunzi waliokatiza masomo katika Elimu ya Msingi na Sekondari.

“Ushirikiano huu, umetusaidia kutumia vema rasilimali zinazopatikana kutekeleza mikakati mbalimbali kuwezesha elimu bora kwa watoto wetu” amesema Makala.

Aidha Mratibu huyo ameishukuru Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia kwa kuitambua TENMET na kuipa jukumu la kuratibu uuandaaji wa mpango huo muhimu kwa Taifa.

Habari Zifananazo

3 Comments

  1. Nowadays earning money online is very easy . Eanrs every month online more than $17k by doing very easy home based job in part time u can also do this simple online Job by visiting websiteMore Details For Us→→ http://www.job40.media

  2. I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
    .
    HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com

  3. Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
    .
    M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us →→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button