Mafunzo ukusanyaji taarifa za viwanda yaanza Arusha

ARUSHA;  Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk Hashil Abdallah, amesema  serikali imejipanga vema kuhakikisha changamoto ya ajira kwa vijana, wanawake na makundi maalumu  zinaondoka.

Amesema hayo leo jijini Arusha wakati wa uzinduzi  wa mafunzo ya ukusanyaji  taarifa za viwanda Mikoa ya Arusha na Manyara yaliyoshirikisha maofisa Tehama na maofisa wa viwanda na biashara.

Amesema hatua ya hivi sasa ni kubaini viwanda vinavyofanya kazi na visivyofanya kazi, ikiwemo fursa za uwekezaji kwa mikoa ya Arusha na Manyara, huku mikoa mingine ikiendelea na utafiti.

Amesema lengo la semina hiyo ni kutekeleza maagizo ya Rais Samia Hassan Suluhu ya kuona uchumi wa viwanda nchini unakua kwa kufanya utafiti.

Amsema wanafanyia kazi maelekezo hayo ili kuwezesha ajira, uwekezaji na wazawa kubaini fursa za kuanzisha viwanda na uwekezaji katika mikoa mbalimbali kupitia taarifa sahihi za viwanda

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utafiti na Maendeleo ya Viwanda Tanzania (TIRDO), Profesa ,Mkumbukwa Mtambo amesema serikali imebainisha viwanda vikubwa na vya kati ,vidogo na vidogo sana 23,150 katika mikoa saba.

Amesema baada ya ukusanyaji wa taarifa za viwanda hivyo nchi nzima, serikali itaviweka katika mfumo wa kanzidata ambao ni Mfumo wa Utoaji wa Taarifa za Viwanda (NIIMS),  ili kuwezesha  wawekezaji wa nje na ndani kuwekeza ili kukuza uchumi.

 

Habari Zifananazo

24 Comments

    1. I get paid over (90$ to 500$ / hour ) working from home with 2 kids at home. I never thought I would be able to do it but my best friend earns over $22000 a month doing this and she convinced me to try. it was all true and has totally changed my life… This is what I do, check it out by Visiting Following web….
      .
      HERE——————————————⊃⫸ http://Www.Cash43.Com

    2. Google is now paying $300 to $500 per hour for doing work online work from home. Last paycheck of me said that $20537 from this easy and simple job. Its amazing and earns are awesome. No boss, full time freedom and earnings are in front of you. This job is just awesome. Every person can makes income online with google easily……….
      .
      M­­­­­­o­­­­­­r­­­­­­e­ D­­­­­­e­­­­­­t­­­­­­a­­­­­­i­­­­­­l­­­­­­s For Us→→→→→→→→→→ http://Www.Payathome9.Com

  1. Ujenzi wa UBALOZI WA OTAWA MKOA DODOMA – MAKAO MAKUU YA NCHI UMEFIKIA ASILIMIA 90Ujenzi wa UBALOZI WA MAREKANI MKOA DODOMA – MAKAO MAKUU YA NCHI UMEFIKIA ASILIMIA 90

  2. I have earned and received $19,683 by working online from home. In previous month i have this income just by doing work for 2 hours maximum a day using my laptop. This job is just awesome and regular earning from this just great. Now everybody can now get this job and start making real money online just by follow instructions on this website………
    Open This…. http://www.join.work43.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button