Rehema Mwang’onda alivyokabidhiwa kapu sikukuu

Kyela, Mbeya: Meneja mauzo wa Vodacom Tanzania Plc mkoa wa Iringa, Zidiel Mbwambo akikabidhi Kapu la sikukuu kwa Rehema Mwang’onda ikiwa ni ishara ya kusherehekea na wateja wa kampuni hiyo katika msimu huu wa sikukuu. Tukio hili limefanyika eneo la Ipinda – Kyela, jijini Mbeya.

Habari Zifananazo

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Back to top button