Amina Bakari apenya ubunge viti maalum

Chama Cha Mapinduzi(CCM) kimepitisha majina ya wagombea Ubunge Viti Maalum kupitia UVCCM Tanzania akiwemo Amina Bakari Yusuf kutokea Kaskazini Unguja.

Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ametangaza majina hayo.



