Mwandishi wetu

Africa

Afrika yadai haki kwa waathirika wa Ukoloni

VIONGOZI wa Afrika wamekusanyika mjini Algiers, Algeria, kuhimiza kuwa uhalifu wa enzi za ukoloni unapaswa kutambulika, kuhalalishwa kama jinai na…

Soma Zaidi »
Afya

Tanzania yapiga hatua mapambano dhidi VVU/UKIMWI

WAKATI dunia ikiendelea kukumbuka Siku ya Ukimwi Duniani, ripoti za mashirika ya afya duniani zinaonesha kuwa hatua kubwa zimefanyika katika…

Soma Zaidi »
Utalii

Rais Mwinyi akaribisha uwekezaji wa kimataifa

ZANZIBAR : RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema Zanzibar itaendelea kuwakaribisha wawekezaji…

Soma Zaidi »
Afya

Hemed ataka nguvu kupambana VVU

MAKAMU wa Pili wa Rais- Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla, amezitaka taasisi, wadau na wananchi kushirikiana katika kuongeza ubunifu wa upatikanaji…

Soma Zaidi »
Tahariri

Tunapodai haki, tukumbuke kutii sheria

WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk Juma Homera amesema haki lazima iendane na wajibu kwa hiyo ni lazima watu watimize…

Soma Zaidi »
Maoni

Tunapaswa kuchagua amani, si uchochezi

KAULI ya Waziri Mkuu Dk Mwigulu Nchemba kuwataka Watanzania wakatae kushawishiwa na wanaharakati wanaochochea vurugu si kauli ya kawaida. Ni…

Soma Zaidi »
Dini

Malima: Tanzania inahitaji maombi

MKUU wa Mkoa wa Morogoro, Adam Malima amewaomba viongozi wa dini watoe mahubiri ya kumuomba Mungu ili nchi iendelea kuwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

‘Watanzania msikubali kutia doa taifa’

SHEHE wa Mkoa wa Mtwara, Jamaldin Chamwi amewasihi viongozi, wanasiasa, wananchi na wadau wote kutoruhusu dosari zozote zinazoweza kutia doa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Bil 54/- kukabili foleni Dar, Pwani

WAZIRI wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameagiza mameneja wa Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) nchi nzima wahakikishe hakuna foleni zitakazokwamisha na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Aliyemdhalilisha kijinsia mgonjwa afukuzwe kazi

WAZIRI Mkuu, Dk. Mwigulu Nchemba ameagiza kufutwa kazi kwa daktari aliyekuwa akimtibu msichana mwenye umri wa miaka 18 aliyekuwa na…

Soma Zaidi »
Back to top button