Joseph Sabinus

Chaguzi

SWAUTA yapongeza Ilani CCM

TAASISI ya Sauti ya Wanawake Wenye Ulemavu Tanzania (SWAUTA) imekipongeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwa kuonesha kuwajali watu wenye ulemavu…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Tamati kampeni Uchaguzi Mkuu 2025

VYAMA vya siasa kesho vinamaliza kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, wabunge na madiwani Tanzania Bara. Kampeni za Uchaguzi wa…

Soma Zaidi »
Chaguzi

JK awamwagia sifa Samia, Dk Mwinyi utekelezaji Ilani

RAIS mstaafu Jakaya Kikwete amesema Chama Cha Mapinduzi (CCM) ni chama cha vitendo. Kikwete amesema hayo katika Uwanja wa Jambiani,…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Samia kuhitimisha kampeni kesho Mwanza

MGOMBEA urais wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan anatarajia kufunga kampeni za Uchaguzi Mkuu…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Mwinyi ataja sekta 11 kipaumbele awamu ijayo

MGOMBEA wa nafasi ya Rais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), ambaye pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti…

Soma Zaidi »
Muziki

Tuzo za muziki kitaifa kufanyika Desemba

TUZO za Tanzania Music Awards (TMA) zimetangazwa rasmi kufanyika Desemba 13, 2025, huku dirisha la maombi kwa wasanii wanaotaka kushiriki…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Othman aahidi Chuo Kikuu kumuenzi Maalim Seif

MGOMBEA urais wa Zanzibar kupitia chama cha ACT Wazalendo, Othman Masoud Othman, ameahidi kuuenzi urithi wa Marehemu Maalim Seif Sharif…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Waangalizi wa EAC waingia Tanzania

JUMUIYA ya Afrika Mashariki (EAC) imezindua  Tume ya Uangalizi wa Uchaguzi yenye wataalamu 67 kutoka nchi zote wanachama, kwa ajili…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Polisi Tabora waahidi uchaguzi wa amani

JESHI la Polisi mkoani Tabora limefanya mazoezi ya hiari katika maeneo mbalimbali ya Manispaa ya Tabora, ikiwa ni sehemu ya…

Soma Zaidi »
Chaguzi

CP Kombo:Uchaguzi utakuwa wa amani

ZANZIBAR : JESHI la Polisi Kamisheni ya Zanzibar limewahakikishia wananchi kuwa hali ya ulinzi na usalama katika kipindi hiki cha…

Soma Zaidi »
Back to top button