Na Mwandishi Wetu

Siasa

ACT Wazalendo yaongeza muda uchukuaji fomu Bara

DAR ES SALAAM: CHAMA cha ACT Wazalendo kimesogeza mbele hadi Juni 30, 2025 zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu za…

Soma Zaidi »
Tanzania

Vijana watakiwa kuonesha vipaji vyao

SHINYANGA: VIJANA wameshauriwa kujitokeza kuonyesha vipaji vyao kwenye maonesho mbalimbali ili wapate kusaidiwa katika ajira na kujiajiri wenyewe. Hayo yamesemwa…

Soma Zaidi »
Biashara

Serikali: Tunahitaji Wawekezaji Wakubwa

DAR ES SALAAM: SERIKALI imetoa wito kwa wawekezaji wa kimataifa kuwekeza nchini kwa kiwango kikubwa na katika miradi ya kimkakati,…

Soma Zaidi »
Tanzania

Steve Nyerere achangia mil 3/- msiba mama wa Carina

DAR ES SALAAM: MWIGIZAJI Steven Mengele maarufu ‘Steve Nyerere’ ametembelea msibani kwa Fatma Maruzuku mama wa marehemu Hawa Carina aliyefariki…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wahitimu 258 wavuna ujuzi, maarifa GGML

GEITA: KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu wa Geita (GGML) imetoa mafunzo kwa vitendo kwa jumla ya wahitimu 258 wa fani…

Soma Zaidi »
Tanzania

Matawi sita ufufuo na uzima yafungiwa Mbeya

MBEYA: JESHI la Polisi mkoani Mbeya limeyafungia matawi sita ya Kanisa la Ufufuo na Uzima yaliyopo katika halmashauri sita za…

Soma Zaidi »
Tanzania

RC Sawala: DC Nanyumbu ongeza juhudi utendaji kazi

MTWARA: MKUU wa Mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Nanyumbu Christopher Magala kuongeza juhudi ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Dk Jafo ataka sheria mpya aina ya biashara za wageni

DAR ES SALAAM: WAZIRI wa Viwanda na Biashara, Dk Suleimani Jafo amesema ili kumaliza tatizo la wafanyabiashara wa kigeni kufanya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Uanzishaji vituo kulea watoto vaiva Mbeya

MBEYA: MCHAKATO wa uanzishwaji wa vituo vya kijamii vya kulelea watoto katika maeneo yenye mikusanyiko jijini Mbeya umeanza rasmi baada…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Soka la ufukweni lajipanga mashindano CECAFA

DAR ES SALAAM: KOCHA wa timu ya taifa ya soka la ufukweni, Jaruph Rajabu, amesema maandalizi kuelekea mashindano ya Baraza…

Soma Zaidi »
Back to top button