Na Rehema Lugono

Diplomasia

Tanzania, Finland kuboresha ujasiriamali nchini

DAR ES SALAAM: UBALOZI wa Finland nchini umesema utaendelea kushirikiana na Tanzania katika kuongeza umuhimu wa matumizi ya mifumo ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Ruwasa kupeleka maji vijiji vyote Kigoma

KIGOMA: WAKALA wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA) mkoani Kigoma imejizatiti kuhakikisha majisafi na salama yanapatikana kwa uhakika…

Soma Zaidi »
Tanzania

Kapinga ataja vigezo vya ziada upelekaji umeme vitongojini

DODOMA: Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unatekeleza miradi ya umeme katika vitongoji kwa…

Soma Zaidi »
Tanzania

“Wananchi changamkieni fursa nishati safi”

DAR ES SALAAM: Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetoa wito kwa wananchi kuchangamkia fursa zilizopo kwenye mnyororo wa uzalishaji na…

Soma Zaidi »
Tanzania

Miradi ya mil 900/- ina dosari Geita

GEITA: TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita imebaini dosari kwenye upande wa matumizi ya fedha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakazi Mkuranga walia kuvamiwa maeneo yao

PWANI: WAKAZI wa Mkuranga mkoani Pwani, Francis Maigua na Adventina Rweyemamu wanalilia maeneo yao ya Mwanadilato lenye ekari 104 na…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Dar Leopards kupimana na Les Gaulois Jumamosi

DAR ES SALAAM– TIMU ya mchezo wa Rugby au Raga ya DAR Leopards inatarajia kuumana na Les Gaulois de Nairobi…

Soma Zaidi »
Afya

Kigoma yapokea vyandarua milioni 1.7 kujikinga malaria

KIGOMA: Mkuu wa Mkoa Kigoma,Thobias Andengenye amesema kuwa Mkoa wa Kigoma umepokea vyandarua zaidi ya milioni 1.7 vyenye thamani ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wananchi 400 kunufaika mradi usimamizi fedha

DAR ES SALAAM: JUMLA ya wananchi 400 watahusishwa katika  mradi wa “Raia Makini Project”unaohusu kuwajengea  uwezo wa  usimamizi bora wa…

Soma Zaidi »
Afya

Wadau waomba iwekwe ruzuku vifaa vya hedhi

MTWARA: WADAU mbalimbali mkoani Mtwara wameiomba serikali kuendelea kuweka juhudi na ruzuku zinazohusiana na kutoa bure vifaa vya hedhi salama.…

Soma Zaidi »
Back to top button