Na John Mhala

Chaguzi

Kiruswa aongoza kura za maoni Longido

Katibu wa CCM Wilaya ya Longido Geofrey Kavenga amesema katika Jimbo hilo kulikuwa na wapiga kura 12,782,kura zilizopigwa 11,759,kura zilizoharibika…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wakulima kunufaika ruzuku mbegu bora, pembejeo

MOROGORO: MAMLAKA ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) inatarajia kusambaza mbegu bora za ufuta, pembejeo na viuatilifu kwa…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Mhandisi TANROAD awabwaga wanne Bukoba Mjini

BUKOBA: Mhandisi wa TANROAD, Johnston Mtasingwa ameibuka mshindi kwa kupata kura 1,408 na kuwabwaga wenzake zaidi ya wanne waliokuwa walishiriki…

Soma Zaidi »
Tanzania

TFS yapewa kongole usimamizi hifadhi ya misitu

MOROGORO: WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umepongezwa kwa kazi nzuri ya uhifadhi wa misitu na jitihada kubwa wanazozifanya kufikisha…

Soma Zaidi »
Tanzania

SADC watakiwa utekelezaji mapambano ya rushwa

ARUSHA: WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ametoa wito kwa Wakuu wa Taasisi za Kupambana na Rushwa wa Jumuiya Maendeleo ya Kusini…

Soma Zaidi »
Chaguzi

THRDC yaipongeza CCM uteuzi makundi maalumu

DAR ES SALAAM: Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) umetoa wito kwa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuhakikisha…

Soma Zaidi »
Tanzania

FCT watakiwa kutafakari mashauri ya rufaa

BARAZA la Ushindani (FCT) limeagizwa kutafakari kwa kina maamuzi ya mashauri ya rufaa yanayogusa maisha ya watu kwa maslahi ya…

Soma Zaidi »
Afya

“Wenye kifafa wasitengwe”

DAR ES SALAAM: WATANZANIA wameshauriwa kuacha tabia ya kuwatenga watu wenye kifafa kwani wanapaswa kupata haki sawa kama wengine. Hayo…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Asas: Wanachama CCM shirikini kikamilifu kura za maoni

IRINGA: Mjumbe wa Kamati Kuu (MCC) ya Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Salim Abri Asas,…

Soma Zaidi »
Kimataifa

Mkutano wa 45 SADC waanza Madagascar

Mkutano wa 45 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza leo Agosti 04,…

Soma Zaidi »
Back to top button