Swaumu Katambo

Tanzania

Wabunge mikoa ya Magharibi watembelea Bandari ya Karema

KATAVI: WABUNGE kutoka mikoa ya Katavi, Rukwa na Kigoma wametembelea Bandari ya Karema iliyopo wilayani Tanganyika, mkoani Katavi, kushuhudia maendeleo…

Soma Zaidi »
Michezo na Burudani

Gabo Zigamba azindua Tamthilia ya “Baraluko”

MSANII nguli wa filamu nchini Tanzania, Salim Ahmed maarufu kama ‘Gabo Zigamba’, amezindua rasmi tamthilia yake mpya iitwayo “Baraluko”, akieleza…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mradi wa umeme Mbagala wafikia 70%

DAR ES SALAAM: MKURUGENZI Mtendaji wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), Lazaro Twange amesema wananchi wa maeneo ya Mbagala na…

Soma Zaidi »
Bunge

Nyumba 865 kuunganishwa gesi Mtwara, serikali kugawa mitungi ya ruzuku

NAIBU Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema serikali kupitia Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) inatarajia kuunganisha mfumo wa…

Soma Zaidi »
Utalii

Serikali kuboresha uwekezaji, biashara utalii

DODOMA: Serikali imedhamiria kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji katika sekta ya utalii ili ichangie kikamilifu uchumi na maendeleo ya…

Soma Zaidi »
Tanzania

TPHPA yaagizwa kudhibiti viuatilifu visivyo na viwango

ARUSHA: MAMLAKA ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA) imeagizwa kudhibiti shehena za vipando vinavyoingia nchini ili kuzuia baadhi…

Soma Zaidi »
Madini

GGML yaendeleza mapambano dhidi ya rushwa Geita

GEITA: KAMPUNI ya Mgodi wa Dhahabu ya Geita (GGML) kwa kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU)…

Soma Zaidi »
Afya

Maambukizi ya malaria yapungua asilimia 6.7

RUVUMA: TAFITI za viashiria vya malaria nchini zinaonesha ugonjwa huo umepungua kutoka asilimia 14.8 mwaka 2015 hadi kufikia asilimia 8.1…

Soma Zaidi »
Tanzania

CoRI kuimaliza shughuli zake uchaguzi mkuu

UMOJA wa Haki ya Kupata Taarifa (CoRI) umekutana kujadili masuala muhimu matatu, likiwemo kusaini makubaliano ya kiutendaji (MoU) yanayolenga kuimarisha…

Soma Zaidi »
Tanzania

Waziri Mkuu ashiriki ufunguzi jukwaa maafisa watendaji wakuu Afrika

VORY COAST: WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa ameshiriki ufunguzi wa mkutano wa siku mbili wa Maafisa Watendaji Wakuu Barani Afrika ulioanza…

Soma Zaidi »
Back to top button