Mwandishi Wetu, Monduli

Tanzania

Mgombea ubunge Monduli amkumbuka Lowasa

ARUSHA: MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha, Joseph Isack maarufu kwa jina la ‘Kadogoo’ amesema kuwa anamshukuru Hayati…

Soma Zaidi »
Chaguzi

CCM yakosa upinzani majimbo saba Geita

GEITA: CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Geita kimeweka wazi kuwa wagombea ubunge wa chama hicho kwenye majimbo saba ya uchaguzi…

Soma Zaidi »
Tanzania

Viongozi wahimizwa kutoa elimu nishati safi

Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa, Ismail Ali Ussi amewataka wakuu wa wilaya na wakurugenzi wa halmashauri zote za Mkoa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mambo safi barabara Biharamulo

KAGERA: Wananchi wa Mji wa Biharamulo wataondokana na changamoto ya vyombo vya moto  kuharibika baada ya wakala wa Barabara za…

Soma Zaidi »
Afya

JKCI yafanya kambi ya upasuaji wa moyo kwa watoto

DAR ES SALAAM: Serikali imeokoa kiasi cha Sh milioni 270 kupitia kambi maalumu ya upasuaji wa moyo kwa watoto iliyofanywa…

Soma Zaidi »
Tanzania

Vijiji vitatu Kakonko kupata majisafi na salama

KIGOMA: WANANCHI 8,984 kutoka vijiji vitatu vya Wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma wanatarajia kunufaika na upatikanaji wa majisafi na salama…

Soma Zaidi »
Tanzania

Mwenge kupitia miradi ya bil 65/- Kigoma

KIGOMA: Mwenge wa Uhuru umeanza mbio zake mkoani Kigoma ambapo utapita kwenye miradi 56  yenye thamani ya Sh bilioni 64.7.…

Soma Zaidi »
Tanzania

Wanafunzi Kenyana wapewa somo mimba za utotoni

MARA: Wanafunzi wa Shule ya Msingi Kenyana iliyopo kijiji cha Kenyana Kata ya Ring’ani Wilaya ya Serengeti mkoani Mara wameelezwa…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Mgombea aahidi kutatua changamoto, maji barabara

MKINGA, Tanga: Mgombea Ubunge wa Jimbo la Mkinga kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Twaha Mwakioja amewahidi wananchi wa eneo hilo…

Soma Zaidi »
Chaguzi

Mgombea aahidi usimamizi bora fedha za serikali

ARUSHA: MGOMBEA Ubunge wa Jimbo la Monduli mkoani Arusha, Joseph Issack maarufu kwa jina la ‘Kadogoo’ amesema atakapochaguliwa kuwa mbunge…

Soma Zaidi »
Back to top button