Afya

“Watoto 14,000 kati ya milioni 2 wana usonji”

DAR ES SALAAM: Watoto 2,000,000 wanaozaliwa Tanzania 14,000 mpaka 20,000 wanazaliwa na usonji katika kipindi cha mwaka mmoja. Mkurugenzi Mkuu…

Soma Zaidi »

Wanawake 25 wafanyiwa upasuaji kurekebisha mwili

WANAWAKE na wasichana 25 kutoka mikoa mbalimbali wamefanyiwa upasuaji wa plastiki wa bure wa urekebishaji wa mwili katika awamu ya…

Soma Zaidi »

NHIF yarejesha Toto Afya Kadi

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) umesema kadi za huduma za watoto maarufu ‘Toto Afya’ zitaendelea shuleni na…

Soma Zaidi »

Muhas yataja mafanikio yake

CHUO Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas) kimesema kupitia mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi ya Uchumi…

Soma Zaidi »

Aga Khan, Tapo kuzindua kampeni ya kitabibu

HOSPITALI ya Aga Khan Tanzania kwa kushirikiana na Tanzania Women Tapo (TWT) wanatarajia kuzindua kampeni ya Taifa ya Samia afya…

Soma Zaidi »

Kitoweo cha dagaa: Urithi mkombozi anayekabiliwa changamoto ya ukaushaji

DAGAA ni kitoweo maarufu katika jamii nyingi za Afrika Mashariki kinachow[1]afikia walaji wa hali zote masikini na tajiri. Huliwa wakiwa…

Soma Zaidi »

Maambukizi ya VVU Mama kwa Mtoto yapungua

Usalama wa watoto wanaozaliwa kutopata maambukizi ya VVU hivi sasa ni mkubwa kutokana na jitihada za Serikali kwa kushirikiana na…

Soma Zaidi »

Ndugulile afariki dunia akiwa na miaka 55

Ndugulile alichaguliwa Agosti 27 mwaka huu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa WHO Kanda ya Afrika, Nafasi aliyopaswa kuanza kuitumikia rasmi mwakani.

Soma Zaidi »

Mpox ni hatari kwa dunia – WHO

GENEVA : SHIRIKA  la Afya Duaniani – WHO limesema kuwa mlipuko wa ugonjwa wa mpox bado utaendelea kuwa ugonjwa wa…

Soma Zaidi »

Bilioni 26 kujenga chuo kikuu Muhas Kigoma

KIASI cha Sh bilioni 26 kinatarajia kutumika kwa ajili ya ujenzi wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili…

Soma Zaidi »
Back to top button