Afya

Lishe duni ni changamoto kaskazini

ARUSHA: LICHA ya mikoa ya Kanda ya Kaskazini kuwa na utoshelevu wa chakula lakini bado kunachangamoto kubwa ya udumavu ,utapiamlo…

Soma Zaidi »

Zaidi ya wananchi 10,000 wanufaika kambi ya upimaji

DAR ES SALAAM; WANANCHI zaidi ya 10,000 wamepatiwa matibabu bure katika kambi ya siku tatu ya upimaji wa afya na macho…

Soma Zaidi »

“Wenye kifafa wasitengwe”

DAR ES SALAAM: WATANZANIA wameshauriwa kuacha tabia ya kuwatenga watu wenye kifafa kwani wanapaswa kupata haki sawa kama wengine. Hayo…

Soma Zaidi »

45 wafanyiwa upasuaji kambi ya Imamu Hussein

DAR ES SALAAM; WANANCHI 45 waliokutwa na tatizo la mtoto wa jicho kwenye kambi ya matibabu ya Imamu Hussein (AS)…

Soma Zaidi »

41 watengenezwa mishipa kuchuja damu Mloganzila

DAR ES SALAAM: JUMLA ya watu 41 wamefanyiwa upasuaji wa kutengeneza mishipa ya kuchuja damu na wanne kupandikizwa figo katika…

Soma Zaidi »

JKCI kuanza upandikizaji wa moyo rasmi

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) imeanza rasmi mkakati maalum wa kufanikisha huduma za upandikizaji wa…

Soma Zaidi »

JKCI kuimarisha huduma tiba ya moyo nje ya Dar

DAR ES SALAAM; TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imepanga kuongeza huduma za matibabu ya moyo kwa maeneo nje…

Soma Zaidi »

Tiba upandikizaji moyo Kuanzishwa JKCI

DAR ES SALAAM; TAASISI ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeanza mikakati ya kupanua huduma zake ikiwa ni pamoja na…

Soma Zaidi »

Uchunguzi maabara waimarisha usalama, ubora

KATIKA juhudi za kulinda afya ya jamii, Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imejidhatiti kuhakikisha kuwa dawa na vifaa…

Soma Zaidi »

Elimu ya unyonyeshaji yazaa matunda

DAR-ES-SALAAM : VIWANGO vya unyonyeshaji wa maziwa ya mama nchini Tanzania vinaendelea kuimarika, huku asilimia ya watoto wanaonyonyeshwa maziwa ya…

Soma Zaidi »
Back to top button