Afya

Rais Samia amefanya makubwa huduma za afya Meru

“NIMEZALIWA katika kijiji hiki cha Imbaseni miaka 74 iliyopita, changamoto kubwa na ya muda wote ilikuwa ni huduma za afya…

Soma Zaidi »

Khoja Shia Ithnasheri waandaa upimaji afya bure

DAR ES SALAAM; Jumuiya ya Khoja Shia Ithnasheri Mkoa wa Dar es Salaam, imeandaa kambi ya bure ya afya na…

Soma Zaidi »

Geita yajipanga kuimarisha afya ya akili kwa watumishi

GEITA: SERIKALI mkoani Geita imeandaa mpango maalum wezeshi kwa watumishi wa umma kuwasaidia kuimarisha afya ya mwili na akili na…

Soma Zaidi »

1,499 wakutwa na matatizo ya macho mikoa miwili

DAR ES SALAAM; JUMLA ya watu 1,499 kati ya 3,800 waliofanyiwa uchunguzi wa magonjwa mbalimbali katika huduma za matibabu bure…

Soma Zaidi »

‘Uzazi wa mpango utafanikisha utekelezaji Dira 2050’

WATANZANIA wametakiwa kujiunga na huduma za uzazi wa mpango ili kuiwezesha nchi kutekeleza kwa ufanisi malengo mahususi yaliyoainishwa katika Dira…

Soma Zaidi »

Wamiliki famasi zingatieni weledi kulinda afya za wananchi

MAMLAKA ya Dawa na Vifaatiba (TMDA) imeonya wamiliki wa maduka ya dawa muhimu kuacha uuzaji wa dawa ambazo haziruhusiwi kwa…

Soma Zaidi »

Hospitali ya Benjamin Mkapa kusogeza huduma

DODOMA : HOSPITALI ya Benjamin Mkapa ina mpango wa kuanzisha kliniki ya mjini lengo ni kusogeza huduma kwa wananchi katikati…

Soma Zaidi »

Tubadili mtindo wa maisha kuzuia vifo

DODOMA : SERIKALI imesema asilimia 80 ya vifo nchini vinaweza kuzuilika kama Watanzania wataamua kubadili mtindo wa maisha.

Soma Zaidi »

MOF yagusa maisha ya wagonjwa Muhimbili

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Miriam Odemba Foundation imefanya ziara ya kugusa maisha ya wagonjwa katika Hospitali ya Taifa ya…

Soma Zaidi »

Pemba yaomba mafunzo ya dharura udaktari

PEMBA : TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imeombwa kuwajengea uwezo madaktari kisiwani Pemba, Zanzibar ili waweze…

Soma Zaidi »
Back to top button