Afya

Usile matunda mchanganyiko zaidi ya mawili– Mtaalamu

DAR-ES-SALAAM : MTAALAMU wa lishe kutoka Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), Husna Faraji, ameeleza kuwa ulaji wa matunda…

Soma Zaidi »

Kihongosi atembelea miradi Karatu

ARUSHA: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi amekuwa utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa na serikali pamoja na…

Soma Zaidi »

Dk Nagu aridhishwa ukusanyaji mapato hospitali Handeni Mji

TANGA: Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia afya, Profesa Tumaini Nagu, ameipongeza Hospitali ya Halmashauri ya…

Soma Zaidi »

Wanafunzi Muhas, Ufaransa kubadilishana ujuzi afya

DAR ES SALAAM: UFARANSA kwa kushirikiana na Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili ( MUHAS ) wanaendelea kuboresha…

Soma Zaidi »

Wataalamu wa ganzi, usingizi kujifunza njia za kisasa MOI

DAR ES SALAAM: TAASISI ya Tiba ya Mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) kwa kushirikiana na wataalamu kutoka India leo wameanza…

Soma Zaidi »

Uchangiaji damu kuzindua maonesho ajira, ujuzi Iringa

IRINGA: HOSPITALI ya Mkoa wa Iringa leo itashuhudia hamasa kubwa ya vijana kutoka makundi mbalimbali wakiwemo wanafunzi wa vyuo vikuu,…

Soma Zaidi »

Teknolojia ya IVF yaokoa kizazi

LONDON : WATOTO wanane wenye afya nzuri wamezaliwa nchini Uingereza kupitia mbinu mpya ya upandikizaji wa mimba (IVF), ambayo imefanikiwa…

Soma Zaidi »

1,369 wachunguzwa moyo Sabasaba

DAR ES SALAAM; Watu 1,369 wakiwemo watu wazima 1,289 na watoto 80 wamepata huduma za uchunguzi na matibabu ya moyo…

Soma Zaidi »

WHO yakabidhi vifaa vya afya Kagera

SHIRIKA la Afya Duniani (WHO) kwa kushirikiana na Wizara ya Afya wamekabidhi vifaa vya afya kwa Halmashauri za Biharamulo na…

Soma Zaidi »

TMDA yatahadharisha matumizi holela ya Dawa

DAR-ES-SALAAM : MAMLAKA ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imetoa tahadhari kwa wananchi dhidi ya matumizi holela ya dawa bila…

Soma Zaidi »
Back to top button